Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamu wa Rais akutana na uongozi wa NEC-Japan Ikulu Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Shirika la NEC Corporation la Japan, Dkt. Nobuhiro Endo, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 12, 2014 akiwa ameongozana na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. (Picha na OMR).

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu jijini Tokyo nchini Japan....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UONGOZI WA NEC-JAPAN IKULU JIJINI DAR LEO

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu jijini Tokyo nchini Japan. Ujumbe wa NEC-Japan umeongozwa na Rais wa Kampuni hiyo inayojishughulisha na masuala ya Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Nobuhiro Endo.
Ujio wa Kampuni hii nchini Tanzania unatokana na mwaliko wa Tanzania kwa makampuni ya Japan kufuatia ziara ya kikazi aliyoifanya Mheshimiwa Makamu wa Rais nchini Japan, mwezi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA HABARO TANZANIA (MCT), IKULU DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 11, 2014 kwa ajili ya mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea baadhi ya machapisho ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kutoka kwa Rais wa Baraza hilo, Jaji Thomas Mihayo, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais akutana na uongozi wa Chama cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar

a3

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam jana. Walioketi kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Mcheche Masaju Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabirika Mushi na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw. Emmanuel Achayo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifafanua jambo wakati akiongea na viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT BILALA AKUTANA UJUMBE WA BRN IKULU JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe unaofanya tathmini ya mpango wa matokeo makubwa sasa Nchini (BRN) unaoongozwa na Rais mstaafu wa Botswana Mhe. Festus mogae, wakati ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es salaam leo Januari 16,2015. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe unaofanya tathmini ya mpango wa matokeo makubwa sasa Nchini (BRN)...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA SUMATRA, TRA, TABOA, RC-DSM NA WAZIRI WA FEDHA IKULU KWA MAZUNGUMZO, PIA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ECG NA AL KAN KUTOKA MISRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) TRA, SUMATRA, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri wa Fedha, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 29, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa SUMATRA, TRA, na Wamiliki wa Mabasi Tanzania TABOA, Mkuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na uongozi wa SUMATRA, TRA, TABOA, RC-DSM na Waziri wa Fedha Ikulu kwa mazungumzo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ECG NA AL KAN KUTOKA MISRI, IKULU DAR.

001

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Wafanyabiashara wa ECG na Al Kan kutoka nchini Misri, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 29, 2015 kwa mazungumzo. (Picha na OMR).

003

004

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara wa ECG AL...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa kampuni ya Viettel Group Ikulu Dar

unnamed (33)

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel Group ya nchini Vietnam Bwana Le Dang Dung ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro).

unnamed (34)

 

Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Juni 30, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya simu ya Viettel kutoka Vietnam ukiongozwa na Bwana Le Dang Dung ambaye ni Makamu wa Rais wa Kundi la makampuni ya Viettel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani