Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamu wa Rais aongoza waombolezaji kifo cha kaka wa Waziri Membe

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili nyumbani kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe (Mb) kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Waziri Membe, Bw. Simon Kamillius Membe aliyefariki dunia siku chache zilizopita huko nchini India. Makamu wa Rais akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu, nyumbani kwa waziri Membe leo tarehe 06-10-2015.Makamu wa Rais...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Pinda aongoza waombolezaji kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Kalambo

PG4A6717

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa pole kwa waombolezaji kabla ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Moshi Chang’a, nyumbani kwa Marehemu Mbagala Kibonde Maji jijini Dar es salaam Aprili 22, 2014. Kushoto ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A6726

aziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa pile kwa waombolezaji kabla ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Moshi Chang’a, nyumbani kwa Marehemu Mbagala Kibonde Maji...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZOKUFUATIA KIFO CHA WAZIRI CELINA KOMBANI MIKOCHENI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani kilichotoke Nchini India juzi, wakati Makamu wa Rais alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mikocheni.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akifariji watoto wa Familia ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MABITI, DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini Kitabu cha Maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Marehemu, Pascal Mabiti, wakati wa shughuli ya Msiba iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Upanga jijini Dar es Salaam, leo Okt. 15, 2015. Pi  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia wa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Marehemu Pascal Mabiti, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aongoza waombolezaji msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014 . Picha na OMR

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JOHN NYERERE DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu John Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2015. Marehemu John anatarajia kuzikwa keshokutwa nyumbani kwao ButiamaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA TUMISHI WA UMMA MAREHEMU CELINA KOMBANI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Udongo kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo shambani kwake katika kijiji cha Lukobe mkoani Morogoro. (Picha na OMR)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani