MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI TANZANIA, ANAYEMALIZA MUDA WAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Nasir Abu Jaish, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 19, 2015 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Nasir Abu Jaish, anayemaliza muda wake wa kazi nchini wakati alipofika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA, ANAYEMALIZA MUDA WAKE
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA ANAYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI
10 years ago
Dewji Blog06 Nov
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi wa nchini yake nchini. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Qatar...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI TANZANIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA QATAR ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI TANZANIA, JASSIN MOHAMED MUBARAK AL-DARWIS
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA JAPAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA JAPAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA KAZI NCHINI, MASAKI OKADA
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA NCHINI,PIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANZA NCHINI TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu Dar, akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana,...