MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA TANO YA KUHIFADHI QUR-AN TUKUFU YALIYOANDALIWA NA TAASISI YA ISTIQAAMA, JIJINI DAR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa hafla fupi ya Utoaji wa Tuzo na Kuwakirimu washindi wa Mashindano ya Tano ya kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Istiqaama, iliyofanyika kwenye Msikiti wa Istiqaam, Ilala jijini Dar es Salaam jana usiku. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheki ya Sh. Milioni 3, mshindi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA TANO YA KUHIFADHI QUR-AN TUKUFU YALIYOANDALIWA NA TAASISI YA ISTIQAAMA, JIJINI DAR.
10 years ago
MichuziDKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA TANO YA KUHIFADHI QUR-AN TUKUFU YALIYOANDALIWA NA TAASISI YA ISTIQAAMA, JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akabidhi zawadi za washindi wa mashindano ya tano ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa hafla fupi ya Utoaji wa Tuzo na Kuwakirimu washindi wa Mashindano ya Tano ya kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Istiqaama, iliyofanyika kwenye Msikiti wa Istiqaam, Ilala jijini Dar es Salaam jana usiku. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheki ya Sh. Milioni 3, mshindi...
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA QUR-AN JIJINI DAR
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akabidhi zawadi za washindi wa mashindano ya Qur-An Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi Tuzo za washindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur-aan, yaliyofanyika jana Julai 20, 2014, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa pili wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, ambaye ni Mtanzania, Said Omary Said, wakati wa hafla...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR.
Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akifurahia jambo na baadhi ya Viongozi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Michuzimashindano ya kuhifadhi Qur'an tukufu KWA MWAKA HUU WA 2014
11 years ago
MichuziMASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AN TUKUFU YA TAIFA 2014 - AISHA SURURU FOUNDATION
Mwaka huu Aisha Sururu Foundation imeshirikisha mikoa 9 ya Tanzania ikiwemo visiwa vya Zanzibar na Pemba ambapo vijana...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10