Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAJUMBE WA ILIYOKUWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, SERENA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kuzungumza na aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, walipokutana katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014 baada ya kuzindua rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA MAZUNGUMZO JIJINI DAR ES SALAAM.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Novemba 15, 2014 kwa ajili ya kuzungumzia juu ya suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MTUKUFU AGAHKAN IKULU DAR ES SALAAM, LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti   wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2014 kwa mazungumzo. Mtukufu Agakhan yupo nchini kwa ziara binafsi ya siku nne, ambapo pia atatumia fursa hiyo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Taasisi hiyo, ikiwa ni pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA MAZUNGUMZO JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo. Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati wa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana Novemba 14, 2014.Makamu wa Rais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na wahariri wa vyombo vya habari kwa mazungumzo Jijini Dar

001

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo. (Picha na OMR).

002

04

Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati wa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, Novemba 14, 2014.

01

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO ZA RAIS KWA MAKAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI NCHINI ZAKABIDHIWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wapili kulia), akimkabidhi tuzo, Makamu wa Rais wa kampuni ya Acacia, (Anayeshughulikia kampuni), Deo Mwanyika, baada ya mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na kampuni hiyo, kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka 2014 wa tuzo ya Rais ya makampuni ya uchimbaji madini, yanavyotekeleza wajibu wa kampuni katika kusaidia jamii (CSRE). Hafla ya kutoa tuzo hizo ilikwenda sambamba na uzinduzi wa muongozo mpya wa makampuni hayo katika kutekeleza CSRE....

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAJI HISA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Reginard Mengi, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi kongamano hilo. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey SimbeyeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji Hisa, lililoandaliwa na Taasisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani