Makamu wa Rais wa JICA amtembelea Waziri wa Ujenzi Ofisi kwake Jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan JICA, Kato Hiroshi akimueleza jambo Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo Sekta ya Ujenzi wa barabara nchini wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DMLMNDzIRRQ/VMd5D6rztYI/AAAAAAAG_sE/BIGKXBi3ptE/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
BALOZI WA JAMHURI YA KOREA AMTEMBELEA WAZIRI WA UJENZI OFISINI KWAKE JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-DMLMNDzIRRQ/VMd5D6rztYI/AAAAAAAG_sE/BIGKXBi3ptE/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I3dypOdGvF1aa6p2yCvZUerqjLJEy2lwO3D5bqaAZAulisJgtABQAU4BglDEoLqFs7PwbCNqBC6vNcZBSiAtqp2nKmh23aMO/unnamed48.jpg?width=650)
BALOZI WA JAMHURI YA KOREA AMTEMBELEA WAZIRI WA UJENZI OFISINI KWAKE JIJINI DAR
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Chung Il kuhusiana na mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Ujenzi pamoja na mchakato wa Ujenzi wa Daraja jipya litakalopita baharini pembezoni mwa darajala Selander.Daraja hilo litakuwa na urefu wa kilomita 7.2 na uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 61,000 kwa siku.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na...
10 years ago
VijimamboBALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SPaUTzZZXiw/VL39pep1mpI/AAAAAAAG-ZI/WrHz_pTtS88/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
BALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-SPaUTzZZXiw/VL39pep1mpI/AAAAAAAG-ZI/WrHz_pTtS88/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-33aOx73lr-c/VL39pdkffWI/AAAAAAAG-ZM/8ZNVhzFrZhg/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
9 years ago
MichuziMWAKILISHI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
VijimamboBALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziBALOZI WA NORWAY NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
MichuziBALOZI WA KUWAIT NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
MichuziBALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO.
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania