Mama Samia Suluhu Hassan Afunika Mkutano wa Kampeni Kibaha

Kada wa CHADEMA Bw. Nyakarungu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa chama hicho mara baada ya kukihama chama hicho na kwenda CCM na kuvalishwa sare za CCM.
Msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu akizungumza na Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe, Seleman Said Jafo (kushoto) na katikati ni mgombea udiwani, Mwishehe Mlao mkoani Pwani,
Mgombea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
BI. SAMIA SULUHU AFUNIKA MKUTANO WA KAMPENI KIBAHA



10 years ago
Michuzi
Mama Samia Suluhu Hassan achanja mbuga katika kampeni Wilaya za Korongwe na Lushoto



10 years ago
Michuzi
MGOMBEA MWENZA CCM SAMIA SULUHU HASSAN AANZA KAMPENI KILIMANJARO LEO




10 years ago
Michuzi
Viongozi wa CHADEMA Gairo, Mikumi Wakimbilia CCM, Mama Samia Suluhu Hassan Awapokea





10 years ago
Vijimambo
MAMA SAMIA AFUNIKA TABORA, MAELFU WAFURIKA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI



5 years ago
Michuzi
SAMIA SULUHU HASSAN AWAONYA WANA CCM WALIOANZA KAMPENI KABLA YA WAKATI,ASEMA WANAYO MAJINA YAO

9 years ago
Michuzi
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete, wakiangalia moja ya Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea Mabanda ya maonesho ya Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana. Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015.

5 years ago
Michuzi
DC TANO MWERA AHAMASISHA WANANCHI WA BUSEGA KUJITOKEZA KWA WINGI KUMPOKEA MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

Mh. Samia Suluhu atakuwa na ziara ya siku 3 Mkoani Simiyu.
Mkuu huyo amesema akiwa Busega Mhe Samia Suluhu Hassan atafungua tawi la Benki ya NMB na kuongea na wananchi wa Busega.
"Nahamasisha wananchi wa...
10 years ago
Michuzi
Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan Avunja Ngome ya ACT Tanga, Avuna Wanachama 272 wa Upinzani


