MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA TAARIFA YA 'THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE' YA VODAFONE FOUNDATION
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akiwahutubia waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Taarifa ya 'THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE' ya Vodafone Foundation. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Golden Tulip hapa Dar es Salaam tarehe 5.3.2014.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa Taarifa ya THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania