Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA WEMA, BADO TU HAUJIFUNZI?

Mama mzazi wa Wema Sepetu, Miriam Sepetu HII ni mara yangu ya tatu nazungumza na mama mzazi wa Wema Sepetu, Miriam Sepetu juu ya mwenendo wake kwa mwanaye, ambaye ana simulizi nyingi zinazomhusisha na mambo yaliyo nje ya fani yake ya uigizaji. Wakati ule, ilikuwa ni juu ya tabia yake ya mara kwa mara ya kulizungumzia penzi la Wema na Diamond, kabla wawili hao hawajaachana kwa mara ya kwanza. Alikuwa akimpinga waziwazi kijana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA

HII ni mara ya pili ninaandika kuhusu Miriam Sepetu, mama mzazi wa muigizaji nyota, Wema Sepetu. Bado ninakumbuka vizuri nilichokiandika mara ya kwanza, ilikuwa ni kuhusu tabia yake wakati ule. Alipenda sana kuzungumza na magazeti kuhusu nyenendo za mwanaye katika uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond. Ingawa ni kweli mzazi ana nafasi muhimu katika maisha ya kimapenzi ya mtoto wake, lakini siyo jambo la busara kuingilia kupita...

 

10 years ago

Bongo Movies

Linah Bado Ana Dukuduku na Wema

Siku chache baada kuenea kwa taarifa za kuporwa bwana na Wema Sepetu, staa wa Bongo Fleva Esterlinah Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa bado ana dukuduku kubwa moyoni ambalo anajipanga hivi karibuni kulianaika hadharani kwa njia ya tamko rasmi ambalo atalitoa kwa njia hiyo hiyo ya mtandao

Kwa mujibu wa linah ,amesema kuwa tamko hilokwa sehemu linahusiana na tuhuma za kulalamika kuibiwa  bwana, kitu ambacho kinaendelea akiwa haoni sababu ya kuendelea kukaa kimya zaidi na kuumia roho.

Linah...

 

10 years ago

Bongo5

Nampenda sana Wema ila bado ana chuki na mimi — Kajala

Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na Wema Sepetu baada ya kugombana. Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu. “Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi

Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.

Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.

“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye...

 

10 years ago

GPL

LULU BADO AMTESA MAMA KANUMBA

Gladness Mallya MAMA mzazi wa aliyekuwa staa wa filamu, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, bado anateswa na Elizabeth Michael kufuatia maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii katika siku ambayo ilikuwa ni kumbukumbu ya kifo cha mwanaye. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1JTxcRT

 

11 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AMBARIKI WEMA

Hamida Hassan na Gladness Mallya
SIKU chache baada ya mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa kukiri kwamba Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikuwa mkwe sahihi kwake, safari hii ameibuka na kumbariki Wema Sepetu ambaye naye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaye, akisema ana huruma, roho nzuri na utu. Mama Kanumba, Flora Mtegoa. Akizungumza kwa kujiamini, mama Kanumba alisema: “Hili nalizungumza...

 

10 years ago

GPL

ISABELA AMVAA MAMA WEMA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa Filamu na Muziki Bongo, Isabela Mpanda amemvaa mama wa msanii mwenzake, Wema Sepetu, Miriam Sepetu na kumtaka aache kuingilia mapenzi ya mwanaye kwani mapenzi hayaingiliwi. Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Isabela Mpanda. Akistorisha na gazeti hili, Isabela alisema siku zote unaopenda ni moyo siyo mwili kwa hiyo mama Wema kama anataka mwanaye aachane kabisa na Diamond basi amtoe moyo...

 

9 years ago

GPL

MAMA DIAMOND AMKARIBISHA WEMA

Brighton Masalu  MAMBO yamekuwa mambo! Siku chache baada ya mzazi mwenza wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutimka Bongo na kuelekea kwake nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameibuka na kusema hana kinyongo na mpenzi wa zamani wa mwanaye, Wema Sepetu ‘Madam’ na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani