MAMBO 14 USIYOYAJUA KUHUSU ROSE MUHANDO
![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N-x8wwAHw8-Q7OuW9*RbsYatkjRR*m8K4RD0tCrpDvfIOokkQh9u-kiIxh*Lyj1OLhtNBmzRcDmL*j62BIip4T1/IMG_6706rose.jpg?width=750)
Msanii maarufu wa muziki wa injili, Rose Muhando. JE, Rose Muhando nini nani hasa? Hilo ni swali ambalo watu wengi wanaweza kujiuliza. Yafuatayo ni mambo kadhaa yanayohusiana na nyota huyo mzaliwa wa Tanzania anayeng’ara katika uimbaji wa nyimbo za Injili kwa lugha ya Kiswahili katika Afrika ya Mashariki. Mwanamke huyo alizaliwa mwaka 1976 katika kijiji cha Dumila, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro akiwa mfuasi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mambo 13 usiyoyajua kuhusu kakuoana
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Mambo 5 Usiyoyajua kuhusu MABESTE,LISA
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MARA nyingi tunapenda kuwafahamu watu maarufu nje ya maisha yao ya sanaa, licha ya kutamani kuwafahamu
imekuwa ngumu kutokana na mastaa hao kutoonekana mara kwa mara kitaa kwa lengo la kuongeza mvuto
kwenye jamii.
Swaggaz wiki limetua maskani mwa nyota wa muziki wa rap, Venance maarufu kama Mabeste na ametuambia
mambo yake kumi ambayo hujawahi kuyasikia popote, kama uliyasikia basi hapa anakueleza vizuri.
ALIVYOJUANA NA PANCHO
Mabeste anasema yeye na Pancho walikuwa...
9 years ago
Bongo527 Sep
Exclusive: Mambo 3 usiyoyajua kuhusu Avril (Video)
9 years ago
Bongo530 Nov
Video: Mambo Matatu usiyoyajua kuhusu Naj
![Naj](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Naj2-300x194.jpg)
Haya ni mambo matatu usiyoyajua kuhusu Naj.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo528 Aug
Mambo 22 usiyoyajua kuhusu Chris Brown (Mpya)
9 years ago
Bongo523 Nov
Video: Mambo Matatu Usiyoyajua kuhusu Malaika
![10617116_420678268131842_1583409129_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/10617116_420678268131842_1583409129_n-300x194.jpg)
Tazama video hii kujua mambo matatu usiyoyajua kuhusu Malaika.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo506 Jan
Video: Mambo 3 Usiyoyajua kuhusu Ernest wa Going Bongo
![11820519_180167015648391_1962079100_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/11820519_180167015648391_1962079100_n-300x194.jpg)
Haya ni mambo matatu Usiyoyajua kuhusu Ernest Napoleon wa filamu ya Going Bongo.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo Movies22 Sep
Mambo kadhaa Usiyoyajua kuhusu Flora mvungi.
ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari.
NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana.
MPANGO
Flora wewe ni msanii mahiri wa filamu Bongo, je, una mpango gani wa kujiendeleza kuhusiana na uigizaji? Salim Liundi, Dar,...
9 years ago
Bongo519 Oct
Video: Mambo 3 usiyoyajua kuhusu Izzo Bizness