Mambo saba ya kujiuliza kabla ya kukopesha (2)
Kukopesha fedha huleta mafanikio pindi wale wanaokopeshwa wanapoonyesha uaminifu wa kuzirejesha kwa wakati.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -5
Mada yetu kuhusu maswali ya kujiuliza kabla ya kuachana inaendelea! Ina maana kubwa sana endapo utaelewa hoja zake na kuamua kuzifanyia kazi. Nilishaeleza mwanzoni kuwa uhusiano wowote huanza kwa furaha na matarajio mengi. Siku zinavyokwenda mambo hubadilika. audhi yanapochukua nafasi hufanya tamu kugeuka shubiri. Wanafasihi wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ waliimba katika wimbo wao Sumu ya Mapenzi kwamba...
11 years ago
GPLMASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -6
Hoja ya msingi hapa ni kwamba kabla ya kuachana lazima ujiulize maswali 10 yenye maana kubwa. Makala haya, yanakuelekeza maswali hayo kwa sababu yanaweza kuwa mwarobaini wa mgogoro unaowatesa badala ya kuongozwa na hisia pamoja na mihemko ya hasira. Wiki iliyopita tuliishia hapa kwenye kipengele cha tano ambacho kinahusu swala la utambuzi wa tofauti ya kinsia. Ukweli ni kwamba hutatambua tofauti yako na ya mwenzio kimaumbile,...
11 years ago
GPLMASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -2
Somo letu linahusu maswali ya kujiuliza kabla ya kuchukua uamuzi wa kuachana au kupeana talaka (kwa wanandoa). Binadamu si kama mbuzi, kwa maana hiyo wanapokutana, kunakuwa na sababu ya kukutana kwao, hivyo haitakiwi kuamua kuachana bila angalizo. Wiki iliyopita nilikupa utangulizi unaojitosheleza kiufafanuzi, leo utaanza kujifunza au kujiongezea elimu kuhusu maswali 10 ambayo ama yanaweza kukufanya urudi nyuma na kuendelea...
10 years ago
GPLMASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) - 9
Tunaendelea na mada yetu ya maswali 10 ya kujiuliza kabla ya kuachana (talaka). Tumalizie makala haya tuliyoyanza wiki nane zilizopita: Inapotokea kweli ulimkosea na uliomba msamaha na ukajirekebisha lakini bado mwenzi wako ana kinyongo, hakikisha unafanyia kazi hili suala. Vilevile kama ni wewe ndiye unashindwa kusamehe, tuliza akili na upitishe msamaha wako. Kwa mantiki hiyo, kabla ya kusimamia uamuzi wa kuachana,...
11 years ago
GPLMASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -7
Ni matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku kama kawaida.
Ni wiki nyingine tunakutana hapa tukizungumzia mambo muhimu sana yanayogusa maisha yetu hasa ya kimapenzi. Kwa wale ambao ni mara ya kwanza wanatupia macho kwenye ukurasa huu, hoja inayoendelea ni kwamba, kabla ya kuachana na mtu ambaye ni sehemu ya maisha yako lazima ujiulize maswali 10.
Lengo hasa la kukuletea maswali haya ni...
11 years ago
GPLMASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA(TALAKA)-4
Mapenzi ni wewe mwenyewe unavyojiweka. Kuna makosa mengi yamekuwa yakitokea katika kuachana na kusababisha majuto ya baadaye. Makala haya lengo lake ni kukutaka kabla ya kuachana, ni vizuri kujiuliza maswali ambayo ama yatakufanya ujirudi na kuujenga upya uhusiano wako au kuachana ukiwa na hoja za msingi. Kwa kuendelea tulipoishia wiki iliyopita ni kuwa elimu sahihi ya utatuzi wa migogoro ya kimapenzi na uhusiano inatoa muongozo...
11 years ago
GPLMASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -3
Wiki iliyopita nilikupa swali la kwanza ambalo ni muhimu sana kujiuliza. “Je, umefanya kila linalowezekana kuiokoa ndoa/uhusiano wako?†Msingi wa kuamua kuachana na mwenzio, unapaswa kujengwa kwanza baada ya jawabu la swali hili. Lazima ufanye kila linalowezekana kuulinda uhusiano wako. Kama umejiuliza swali hilo na jibu linakuwa hapana, basi anza kutekeleza lolote linalowezekana. Uhusiano wa kimapenzi lazima...
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Mambo ya kuzingatia kabla ya kukopa
Mkopo ni makubaliano ya kupeana fedha au vitu kwa lengo la kurudisha fedha/vitu hivyo baada ya muda fulani, kama zilivyo au zikiwa na ziada au riba.
10 years ago
GPLMAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUWA MJAMZITO
Ujauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke. Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi cha ujauzito hadi baada kujifungua. Katika kipindi cha ujauzito kuna mambo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania