Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mamia ya Wanakigoma wamlaki Zitto

>Mamia ya wananchi wa Kigoma jana walimpokea kwa mabango na maandamano Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, baada ya kurejea mkoani hapa kwa mara ya kwanza tangu avuliwe nyadhifa zote ndani ya chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA MKUTANO WA ZITTO NA WANAKIGOMA

 Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwashukuru wanakigoma Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwa amebebwa na wana kigoma muda mfupi baada ya kuwasili kutoka hotuba yake ya shukrani kwa wapigakura wake kuwa hatakuwa tena mbunge waoMbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwaaga wapigakura wake kuwa hatakuwa tena mbunge wao

 

11 years ago

GPL

MAELFU YA WANANCHI WAMLAKI RAIS KIKWETE GAIRO, KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO

Rais Kikwete akihutubia umati wa watu waliojitokeza  kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. Rais Kikwete akipata picha…

 

10 years ago

Vijimambo

WANAKIGOMA WAKESHA WAKIMSUBIRI MWIGULU NCHEMBA ILIWAMDHAMINI KWENYE MBIO ZA URAIS NCHINI TANZANIA


Ndugu Mwigulu Nchemba mgombea Urais ndani ya CCM akionesha Orodha ya WanaCCM waliomdhamini mkoa wa Kigoma hii leo.Mwigulu Nchemba akisalimiana na WanaCCM walioamua kwa dhati kumdhamini iliaweze kupitishwa na Chama cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Baadhi ya Wadhamini wa Mwigulu Nchemba hapa Kigoma,Wadhamini hawa wametumiza Zaidi ya Masaa 7 kumsubiri Mwigulu Nchemba aliyekuwa akitokea Mkoa wa Kagera.Awali walitangaziwa kuwa Mwigulu atawasili saa 7...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani