Man U yalowa kwa Sunderland
Ryan Giggs amepata pigo la kwanza baada ya timu yake ya Man U kupokea kichapo cha goli moja kutoka kwa Sunderland.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Ni Sunderland, Man City fainali
>Timu ya Sunderland imeichapa Manchester United kwa mikwaju ya penalti 2-1 na hivyo kutinga fainali ya mashindano ya Kombe la Ligi (kombe la Capital one).
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Man City kuivaa Sunderland
Ligi kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea tena mwishoni mwa wiki kwa michezo kadhaa katika viwanja mbalimbali.
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Man United yabanduliwa nje na Sunderland
Man United ilikiona cha mtema kuni pale ilipobanduliwa nje ya kinyanganyiro cha kuwania kombe la Capital one na Sunderland
10 years ago
BBCSwahili03 Mar
Mbaroni kwa mapenzi mchezaji Sunderland
Mchezaji wa Sunderland Adam Johnson amejikuta matatani kwa kufanya mapenzi na msichana wa chini ya umri wa miaka 15
11 years ago
BBCSwahili18 Dec
Chelsea hoi kwa Sunderland Capital One
Sunderland imesonga mbele hatua ya nusu fainali ya michuano ya ya Kombe la Capital One baada ya kuichapa Chelsea mabao 2-1.
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Wachovu Manchester United kujiuliza kwa Sunderland leo
>Manchester United wanatakiwa kusahau mwendo wao mbovu katika mbio za ubingwa wa ligi, lakini kocha David Moyes anatakiwa kuhakikisha wanamaliza msimu wakiwa hata na kombe moja la ndani.
11 years ago
BBCSwahili28 Dec
Man U, Man City zashinda kwa tabu
Timu zinazotoka jiji moja la Manchester, Manchester City na Manchester United jumamosi zilishinda mechi zao kwa ushindi mwembamba.
10 years ago
BBCSouthampton 8-0 Sunderland
Victor Wanyama and Sadio Mane both score as Southampton thump Sunderland 8-0 to record their best ever victory in the Premier League.
9 years ago
BBCEverton 6-2 Sunderland
Ivory Coasts's Arouna Kone scores a first Everton hat-trick as Sunderland suffer a second-half capitulation at Goodison Park.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania