MANENO MATATU YA KIBABE YA MAGUFULI KATIKATI YA GONJWA LA VIRUSI VYA CORONA...ACHA KABISA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
RAIS Dk. John Magufuli hakika wewe ndio Rais wangu na ndio Rais wa Watanzania wote.Hilo halina ubishi na ukiona kuna mtu anabisha ujue atakuwa na mtindio wa akili.
Kwanza mtu wa aina hiyo unamuangalia kwa kejeli halafu unamcheka kwa dharau.Potelea mbali acha akajifunze. Rais wangu Dk.Magufuli hakika Mwenyezi Mungu ametupa wewe ni zawadi kwetu Watanzania.Tutakulinda kama mboni ya jicho.Tutakutetea panapostahili kukutetea, tutakupigania pale tunapostahili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya corona: 'Kila anayekufa sio mgonjwa wa corona' asema Magufuli
5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya Corona: Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli atuma ndege Madagascar kuchukua 'dawa ya corona'
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Mabadiliko ya virusi vya corona: Kwanini virusi vya corona vina tabia ya magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Virusi vya corona: Je vipimo vya kugundua virusi vya corona vinafanya kazi vipi?
5 years ago
BBCSwahili08 May
Virusi vya corona: Wanafunzi Kenya watengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
Virusi vya corona: Rais Magufuli asema ana imani ugonjwa wa corona umeondolewa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Virusi vya corona: Mikutano mikubwa ya Kampeni za uchaguzi yaibua hofu ya maambukizi ya virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili25 May
Virusi vya corona: Jinsi janga la virusi vya corona linavyobadili usafiri wa ndege duniani