MANJU MSITA KUPEPERUSHA BENDERA MOZAMBIQUE FASHION WEEK 'MFW-2014'
Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiriki wake katika Mozambique Fashion Week yatakayoanza desemba 10 mpaka 14 ambapo atakuwa akipeperusha bendera ya taifa
Mwanamitindo Matukio Chuma kulia akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa kutangaza upeperushwaji wa bendera ya tanzania katika nchi ya mozambique fashion week ambayo mbunifu wa mavazi Manju Msita atashiriki na kupeperurusha bendera ya Tanzania kushoto ni mwanamitindo Vivian...
Vijimambo