MAONESHO YA CHAKULA YA EDDAH'S ELEGANT CATERING YAFANA
Eddah Gachuma CEO wa Eddah's Elegant Catering akiwa katika picha alipowakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika maonesho ya chakula aliyofanya siku ya Jumamosi March 7, 2015 Ellicott City, Maryland nchini Marekani.
Baadhi ya vtakula vilivyokua vikioneshwa kwenye maonesho hayo.
Maonesho ya matunda.
Maonesho ya chakula.
Maonesho ya vyakula mbalimbali
Vyakula mbalimbali vikiwa kwenye maonesho.
Vyakula kama vinavyoonekana.
Zenah akijipatia chakula na kuonja radha yake.
Wageni waalikwa wakijipatia...
Vijimambo