Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUFUNGULIWA JUNI 16


TANGAZOJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
inawakaribisha wananchi na wadau wote katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Tarehe 16-23 Juni, 2015
Mahali: Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam
Kaulimbiu: “Utumishi wa Umma katika Bara la Afrika ni Chachu ya Kuwawezesha Wanawake, Kuongeza Ubunifu na Kuboresha Utoaji Huduma kwa Umma”.
Ushauri  na Huduma mbalimbali zitatolewa na wataalamu kutoka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAKABIDHIWA ZAWADI YA USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA YALIYOFANYIKA CONGO BRAZAVILLE

Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (katikati) akipokea cheti cha ushiriki wa Tanzania kutoka kwa Mmoja wa Washiriki wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma  Barani Afrika Bw. William Budoya yaliyofanyika nchini Congo Brazaville hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Florence Temba (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (wa pili kutoka kushoto) na...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR

 
Afisa wa wa Mamlaka ya Usajili wa Vizazi , Udhamini na Ufilisi  RITA,Joseph Mwakatobe  akizungumza na Michuzi TV juu ya huduma wanazozitoa katika huduma  ya Wosia katika kuondoa migogoro ya miradhi  wakiwa katika maonyesho Wiki ya Utumishi inayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Wakili wa Serikali,Msajili wa Mkuu wa Talaka wa Mamlaka ya Usajili wa Vizazi , Udhamini na Ufilisi (RITA),Edna Msuya akitoa maelekezo kwa wananchi waliofika katika maonyesho ya  Wiki...

 

10 years ago

Michuzi

GEPF YAWAKIVUTIO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.

Wananchi wakipata maelekezo kutoka kwa mwakilishi wa mfuko wa GEPF,  katika monyesho ya utumishi wa umma yaliyokiwa yakifanyika katyika viwanja vya Mnazi moja jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015

Ofisa Mafunzo Idara ya Masoko UTT AMIS, Waziri Ramadhani (kulia) akitoa maelezo ya namna ya kujiunga na Mfuko wa Umoja wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mafunzo Idara ya Masoko UTT AMIS, Waziri Ramadhani (kulia) akitoa maelezo ya namna ya kujiunga na Mfuko wa Umoja wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa wa Mafunzo wa...

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Viwanda na Biashara ilivyoshiriki katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Ofisa Mkuu wa Wakala wa Vipimo, Zainabu Kafungo akielezea jinsi baadhi ya wafanyabiashara wanavyoiba kupitia mizani wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara.  Maofisa wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Huzaina Mushin na Kamala Gombe, wakitoa Elimu kwa wageni waliotembelea banda la Wizara hiyo katika maonyesho ya  wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnaza Mmoja,Dar es Salaam  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali...

 

11 years ago

Michuzi

Mamlaka za Usafiri wa Anga zashiriki kikamilifu katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

 Mwenye Koti jeusi katikati Mkurugenzi Mkuu wa Viwanja vya Ndege Nchini Suleiman S. Suleiman  akiangalia mfano wa jengo la Tatu (Termina III) ),alipotembelea banda la Taasisi yake wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jana jijini Dar es Salaam. Jengo hilo linalojengwa katika eneo la Kipawa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) na linatarijiwa kutumiwa na Wasafiri wa Kigeni pindi litakapokamiilka.Mwenye kilemba kichwani ni...

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA





OFISI YA RAIS,

MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA


RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014


MUDA

TUKIO

MHUSIKA

02.00-03.30

Burudani

MC

03.30-04.00

Waalikwa Kuingia Uwanjani

MC/Wageni Waalikwa

04.00-04.15

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Kuingia Uwanjani

MC/ Kamati ya Mapokezi

04.15-04.30

Mgeni...

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAFURIKA BANDA LA NHIF, KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Ofisa Uratibu na Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Genoveva Vicent (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wengine wa pili kushoto ni Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda na Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu. Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANYA VYA MNAZI MMOJA

 Wageni wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma wakiangalia Vielelezo katika Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Wageni waliotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakipata maelezo kuhusu huduma za Uhamiaji. Maofisa wa Idara ya Wakimbizi wakitoa maelezo kwa wageni waliotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani