Mapokezi, mkutano wa Dkt. Magufuli haijapata tokea Mwanza
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Bendera za CCM zikiwa zimepamba msafara wa Dkt. Magufuli kutoka Uwanja wa Ndege hadi jijijini Mwanza.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwaaga baada ya mkutano wa kampeni kumalizika katika viwanja vya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MAGUFULI AITIKISA MWANZA, HAIJAWAHI TOKEA!
Njemba mmoja akipiga push up wakati msafara wa Dk Magufuli ukipita. Dada akimfagilia njia Magufuli Afande akimtoa barabarani mdada aliyekuwa akifagia barabara ili Magufuli apite pakiwa safi.…
10 years ago
Michuzi
WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAKIRI WAZI HAIJAPATA KUTOKEA,WAELEZA HISIA ZAO KUWA MAGUFULI ANATOSHA NAFASI YA URAIS.


10 years ago
Vijimambo
WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI JIJINI MWANZA LEO.


10 years ago
Michuzi
MAELFU WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI JIJINI MWANZA LEO.


10 years ago
Michuzi
DKT JAKAYA KIKWETE NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAWASILI JIJINI MWANZA MCHANA HUU KUHITIMISHA SHUGHULI ZA KAMPENI


10 years ago
MichuziDKT.MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI MIKOA YA KAGERA, MARA NA MWANZA
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI WA UJENZI MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI (Mb) KUZURU MIKOA YA MWANZA NA MARA
Wizara ya Ujenzi napenda kutoa taarifa ka umma kuwa Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kukagua miradi mbaimbali ya Maendeleo katika mkoa wa Mwanza na Mara.
Mheshimiwa Waziri Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Mwanza tarehe 06 Julai ambapo atakagua mradi wa Ujenzi wa barabara ya Usagara – Kisesa (by pass) yenye urefu wa km. 16.7 inayojenga kwa kiwango cha lami.Siku inayofata tarehe 07 Julai, Mheshimiwa Waziri ataelekea mkoani Mara kukagua...
.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania