Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA BONGO MUVI NJAA TUPU!

Waandishi wetu
Imevuja! Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa Wikienda umebaini kwamba mastaa wengi wa sinema za Kibongo wapo katika hali ngumu kiuchumi kutokana na soko la filamu kudorora huku wizi wa kazi zao na kusitishwa mikataba yao na makampuni makubwa ya usambazaji vikichangia.
Uchunguzi huo umebaini kwamba moja ya makampuni yaliyositisha mikataba ya wasanii ni Steps Entertainment ambao wamesababisha mastaa kibao kushindwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mastaa Bongo Movie Njaa Tupu!

Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa Wikienda umebaini kwamba mastaa wengi wa sinema za Kibongo wapo katika hali ngumu kiuchumi kutokana na soko la filamu kudorora huku wizi wa kazi zao na kusitishwa mikataba yao na makampuni makubwa ya usambazaji vikichangia.

Uchunguzi huo umebaini kwamba moja ya makampuni yaliyositisha mikataba ya wasanii ni Steps Entertainment ambao wamesababisha mastaa kibao kushindwa kutengeneza muvi kwa kuwa awali walikuwa wakipewa bajeti na Steps kisha kuwauzia kwa bei ya...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI

Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema
HALI bado tete! Siku chache baada ya Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu, upepo mbaya unaendelea kuitafuna klabu hiyo ambapo sasa wasanii wengine watano wamejiengua, Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina’. Kutokana na wasanii hao kujitoa, klabu hiyo inaonekana...

 

11 years ago

GPL

MASTAA BONGO MUVI WATEMBELEA BBC, UINGEREZA

MASTAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ali na Wastara Juma leo wametembelea ofisi za BBC zilizopo nchini Uingereza. Wasanii hao wapo Uingereza kwa ajili ya kucheza filamu iitwayo 'Ughaibuni'. Mastaa hao waliondoka nchini wakiambatana na wenzao ambao ni Issa Musa ‘Cloud 112’ na Yvonne Cherryl 'Monalisa'.

 

11 years ago

GPL

MIRROR, MASTAA BONGO MUVI WACHENGUA CLUB 71 TEGETA

Wema na Kajala wakishindana kunengua jukwaani. Wema Sepetu akiimba na Mirror.…

 

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu

Muigizaji wa filamu za Bongo ambaye naye ameingia kwenye Bongo Fleva, Florah Mvungi a.k.a H.Mama na msanii wa muziki wa mduara AT ambao hivi karibuni wametoa wimbo wa pamoja ‘Mkazurule’ , walikuwa wageni kwenye kipindi cha Papaso kupitia TBC Fm. Miongoni mwa vitu ambavyo Florah ambaye pia ni mke wa H.Baba alivisema ni kuwa waigizaji […]

 

11 years ago

GPL

MASTAA WA MUVI WAZICHAPA WAKIDAIWA...

Stori: hamida hassan na gladness mallya Imevuja! Mastaa wawili wa kike Bongo Muvi, Vivian Minja na Najma wanadaiwa kutoleana maneno machafu kisha kuzichapa kavukavu chanzo kikidaiwa eti walikuwa wakimgombea Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movies, Steven Mengere. Staa wa kike Bongo Muvi, Najma akiwa pembeni ya JB. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Vivian na Najma walifanya yao kwenye hafla ya chakula cha usiku waliyokuwa wamealikwa na...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mastaa: Magufuli Ametuua kwa Njaa

Baby Madaha

Baby Madaha

Jambo limezua jambo! Kufuatia tumbuatumbua inayoendeshwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa vigogo waliokuwa wanawapa jeuri mastaa wa kike mjini, wenyewe wameibuka na kusema kiongozi huyo ‘amewaua’ kwa njaa.

Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa mastaa wengi wa kike wanalalamika njaa na ndiyo maana tangu alipoingia madarakani Rais Magufuli na kuanza kuwaondoa mafisadi, wasanii hao wamekuwa hawaonekani viwanja kama zamani kwa sababu hawana mkwanja.

“Yaani wasanii wa kike...

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani