Matukio kwenye Bunge la Bajeti mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, bungeni mjini Dodoma May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul akiwa Bungeni.
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na mpambe wa Bunge kutoka ukumbini May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog21 May
Matukio mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti
Waziri wa Ujenzi, Mh. John Magufuli akisoma bajeti ya Wizara hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la...
11 years ago
Dewji Blog26 Sep
Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wajumbe wa...
11 years ago
Dewji Blog15 May
Kutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed, bungeni mjini Dodoma Mai 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare (kulia) akizungumza na Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona, bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro...