Matukio mbalimbali ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda Mbeya mjini na vijijini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi baada ya kufungua vyumba vitatu vya Maabara katika shule ya sekondari ya Songwe mkoani Mbeya Febrari 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya sekondari ya Iwambe wilayani Mbeya wakati alipofungua na kukagua maabara tatu za shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 25, 2015. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Norman Sigalla.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog28 May
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni mjini Dodoma Mei 27, 2014.Walipotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Suleiman Nchambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwandishi wa habari...
11 years ago
Dewji Blog19 May
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu zao la Zabibu wakati walipotembelea shamba lake lililopo Zuzu mjini Dodoma Mei 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr.Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya British American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda kutoka Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa kauli kuhusu mgogoro wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto , Bungeni mjini Dodoma Novembe 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu,...
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda katika ziara yake mkoa wa Iringa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chief wa Wahehe , Adam Abdu Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015 kuhani msiba wa baba yake Chief huyo, Marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa uliotokea hivi karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa kuhani Februari 20, 2015.
Waziri Mkuu,...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wajumbe wa...
10 years ago
Dewji Blog25 Oct
Matukio ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda nchini Poland
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika...
11 years ago
Dewji Blog05 Jun
Matukio ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Mawsali Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr. Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Ndege akiwa kwenye zuria la Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge Zainab Kawawa...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA NA WAJUMBE MBALIMBALI WA BUNGE LA KATIBA LEO MJINI DODOMA