MAWAKALA WA MAKOMANDOO WA NEPAL WALIOTUA NCHINI KINYEMELA NA KUJIFANYA 'WALINZI' WAPANDISHWA KORTINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vfcl6YMCiOc/VAagl77m1DI/AAAAAAAGcLw/UYNUaipnXjk/s72-c/1%2B(1).jpg)
MKURUGENZI wa Kampuni ya Ulinzi ya Advanced Limited, Juma Ntinginya (47) na wenzake wawili, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuwahifadhi raia wa Nepal.
Washtakiwa hao walipanda kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi, Devotha Kisoka na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali kutoka Idara ya Uhamiaji, Patrick Ngayomela.
Ngayomela alidai washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Meneja uendeshaji wa kampuni hiyo, Henry Mwakipunda (34) na dereva Hamza Sefu...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania