Maziwa yanachochea mtu kupata vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo ni mojawapo ya matatizo ya kiafya yasiyokuwa ya kuambukiza yanayosumbua watu wengi duniani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FqHjP1r9nP7wwvZHyuxQvmVJeq5HA-mXcV52F3N1Dn-if3nyVcAnglmAhtV4AvfkP-EWgZdzaRBQATDfJQlgoTg/pepticulcers3.jpg?width=650)
JE, VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA?
watu wengi wanahangaika sana na tatizo la vidonda vya tumbo, pasipo kuwa na uhakika kama wanaweza kupona. Lakini leo tutaweza kujua maana ya vidonda vya tumbo (Ulcers), dalili zake, visababishi vyake na hata jinsi gani Watanzania waweze kujiepusha na maradhi hayo na tiba yake. MAANA YA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS)
VIDONDA VYA TUMBO hotokea pale kuta za tumbo zinapotoa asidi iitwayo Hydrochrolic acid katika tumbo ambayo kazi yake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAHhIBstTOJ51JAm1NgeBv-ybsX1Yv6X82a8J*JdpHLE5FCrfZTmWAWSc60XIYxCWifS7pgRG1E4ZbwNnXAaOlq6/url.jpg)
JE, VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA?-2
Kama tulivogusia wiki iliyopita kuhusiana na visababishi vinavyoweza sababisha tatizo hili la vidonda vya tumbo, navyo ni kama;•Kutofuata ratiba nzuri ya chakula.
•Mawazo (Stress). •Kula chakula kingi kupita kiasi, hii imekuwa kama hali ya kawaida hasa kwa wanaume wengi na hata wengine kudiriki kusema kwamba “Sifa ya mwanaume ni kula sana†wakati hii siyo sahihi na kama mwanadamu anakuwa na tabia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXoYadTAjSAU1SAmeK26aUXgZAGxwGkSRQeV79UUVU9rkshBcjWKDEjcmM5E9s*5Cq-GsIs8u4gOgEJt7UXVAui/pepticulcer.jpg?width=650)
JE, VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA?-3
Wiki iliyopita tulizungumzia sana madhara yanayoweza kumkuta mtu mwenye vidonda vya tumbo. Lakini leo sanasana tutaweza kuangalia dalili kubwa za tatizo hili ni zipi na mtu anapoziona katika mazingira yake ya kawaida basi aweze kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya kuweza kuliondoa tatizo hili kwa urahisi kabisa. DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za tatizo hili la vidonda vya tumbo hutegemeana sana na tatizo linakuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9wY6nHswW5TEXbcYQhnGfOd63oPUMY1qtTt*jeaZ4vaDTqSGjx*y8GXGbmtoBdzUuZ-vEtlRFso21dok7zVtsvMJ3ffWV2b/Pepticulcerslgenlg.jpg?width=650)
YAFAHAMU MAKUNDI YA VIDONDA VYA TUMBO
Kuna makundi manne makuu ya vidonda vya tumbo ambayo leo tutawafahamisha.
Lakini kabla ya kuelezea makundi hayo ifahamike kuwa tafiti zimeonesha kwamba karibu asilimia 70 mpaka 90 ya vidonda vya tumbo husababishwa na aina ya vimelea vya bakteria wajulikanao kama Helicobacter pylori. Â Makundi hayo ya vidonda vya tumbo ni haya yafuatayo:- Mosi, kuna vidonda vinavyotokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo (Gastric...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB8FPmKUY5XqLHcjWRQpAAibOXJLMyWOMTlnZomA6C-*AQgNHxaG1bRK*RQhr6mI7gn64Zf7UJyJ-UoySCHCUGU3/url.jpg?width=650)
TIBA YA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO
WIKI iliyopita tulielezea sababu zinazofanya mtu kuugua vidonda vya tumbo na leo tutaeleza tiba yake baada ya kufanyiwa vipimo vya uchunguzi. Uchunguzi
Vipimo vya uchunguzi ambavyo hutumika katika kutambua tatizo la vidonda vya tumbo ni pamoja na kuangalia ndani ya utumbo ambavyo ni pamoja na kipimo kiitwacho Upper GI endoscopy au Gastroscopy. Kwa kutumia kipimo hiki, daktari huangalia moja kwa moja ndani ya utumbo wa...
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Jinsi ya kukabiliana na vidonda vya tumbo
Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili unaohusika na umeng’enyaji wa chakula mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mwili ili kuuwezesha kufanya kazi mbalimbali.
11 years ago
GPLMATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS)
Dk A. Mandai akimfanyia vipimo mteja wake. Na Dk. Mandai A. Simu: 0717961795, 0754391743
TUMEELEZA kwa kirefu aina mbalimbali za ugonjwa wa vidonda vya tumbo na kueleza dalili zake, tukasema kuwa ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo au utumbo wa binadamu.
Kwa kawaida tatizo hili huleta maumivu makali sana ya tumbo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3el1pN3r7WHLooxc2suItFrDIJUtMEljWwGI67aRjn3HglUVpUpeUSDaylPYPbvX*SmF-mtCfnU5-fLOIoYDqYf/asers.gif?width=650)
DAWA MPYA YA VIDONDA VYA TUMBO YAGUNDULIKA
Stori: WAANDISHI WETU Dawa mpya ya kutibu vidonda vya tumbo iitwayo Netragen imegundulika nchini.Mkurugenzi wa Kampuni ya Herbowoex yenye makao makuu yake jijini Mwanza iliyofanya utafiti wa dawa hiyo kwa miaka mitatu, Mwita Marwa amesema wamebaini kuwa dawa hiyo ina uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo kwa kiwango cha juu na bila kuleta madhara kwa mifumo mingine ya mwili hata kama ikitumika kwa wingi. “Watu waliotumia dawa...
11 years ago
GPLFAHAMU HATUA NNE ZA VIDONDA VYA TUMBO - 2
Dk A. Mandai. Na Dk Mandai A. Simu: 0717961795, 0754391743 WIKI iliyopita tulieleza kwa urefu kuhusu ugonjwa wa vidonda vya tumbo, tukaeleza hatua ya kwanza ambayo haikwisha sasa, endelea. Mgonjwa asipopata tiba, tindikali nyingi iliyozalishwa hushuka na kuingia kwenye utumbo mdogo na kuharibu mfumo wa mmeng’enyo au usagaji wa chakula kwa kuwa vimengÃenyo vya utumbo mdogo hushindwa kufanya kazi kwenye mazingira ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania