MAZOEZI YA KUAPISHWA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI YAPAMBA MOTO DAR

Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 Nov
Mazoezi ya kuapishwa kuwa Rais Dk Magufuli yapamba moto Dar
Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Askari wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli...
10 years ago
MichuziMAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MPYA DK. MAGUFULI YAPAMBA MOTO JIJINI DAR
9 years ago
GPL
RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI KUAPISHWA LEO
11 years ago
Dewji Blog15 Aug
Mazoezi Redd’s Miss Temeke yapamba moto

Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd’s Miss Temeke, wakipozi wakati wa mazoezi katika Klabu ya TCC, Chang’ombe, Dar es Salaam. Mashindano yatafanyika kwenye klabu hiyo, Agosti 22,mwaka huu. PICHA ZOTE NA MDAU KHAMIS MUSSA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG




11 years ago
GPLMISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI
10 years ago
GPL
JK AMPONGEZA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI IKULU, DAR JIONI HII
5 years ago
MichuziSAMIA KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA BURUNDI


10 years ago
Habarileo31 Oct
Maandalizi ya kumwapisha rais mpya yapamba moto
SERIKALI imeendelea kuandaa mazingira ya sehemu itakayotumika kwa ajili ya kumwapisha Rais mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Maandalizi ya mazingira hayo yanaenda sambamba na mazoezi ya kijeshi kwa ajili ya gwaride maalumu, litakalofanyika wakati wa kuapishwa kwake katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
5 years ago
Michuzi
NEWZ ALERT: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA,WOTE KUAPISHWA KESHO IKULU JIJINI DAR ES DALAAM.

