MBIO ZA UBUNGE: LIBERATUS MWANG'OMBE AENDELEA KUWA KIMEO KWA WAGOMBEA WENZAKE
Nyota ya mwana-diaspora kutoka Marekani inaonekana kung'aa kwenye mbio za ubunge mwaka huu. Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" ambaye amekuwa akijizolea umaarufu kila uchao. Mh. Mwang'ombe amekuwa akivunja rekodi kila siku kwa kuwa na mvuto kwenye mikutano yake kuliko mgombea yoyote aliye wahi kutokea kwenye historia ya jimbo la Mbarali.
Mh. Mwang'ombe anaye onekana kuwavutia watu wa rika mbalimbali amekuwa changamoto kwa wagombea wengine ambao kuna baadhi ya maeneo wameshindwa kufanya mikutano...
Vijimambo