Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge agoma kujiuzulu

MBUNGE wa Bahi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omar Baduel amesema hatajiuzulu kwenye nafasi hiyo, kutokana na kuandamwa na baadhi ya madiwani kwa tuhuma za kutumia vibaya fedha za mfuko wa jimbo. Alitoa kauli hiyo juzi kwenye kikao cha baraza la madiwani la halmashauri ya Bahi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

TIBAIJUKA AGOMA KUJIUZULU

“Mimi Nijiuzulu kwa sababu gani? yaani kwa sababu ya mafanikio ya kuwakomboa wanawake kwenye Elimu ndio mimi nijuzulu,maana kujiuzulu kunasababu, na hakuna sababu ya mimi kufanya hivyo na sitofanya hivyo kwani wanaodai mimi nijiuzulu ni wanafiki wenye nia mbaya na mimi ,na mimi sijiuzulu ng’o na nikifanya wanavyotaka Rais atashangaa ”alisema Waziri Tibaijuka.
“Leo natuhumiwa na kila mtu kwamba nimepewa pesa na Rugimalira kwamba ni za kifisadi,Jamani tuwe wa kweli kuhusu madai haya maana...

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Michuzi

Mzindakaya agoma kumsamehe Mbunge wa Sumbawanga Mjini...

Mbunge wa zamani wa jimbo la Kwela, Mzee Chrisant Mzindakaya (shoto) amekataa kumsamehe hadharani Mbunge wa sasa wa Sumbawanga Mjini, Bw. Aeshi Hilali (kulia) baada ya kupewa fursa ya kushikana mikono jukwaani na kusameheana.
Haya yametokea  leo mchana (Jumapili, Mei 25, 2014) kwenye ibada ya kumuweka wakfu Askofu Mteule Conrad Nguvumali wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Rukwa iliyofanyika kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga.  Mzee Mzindakaya alikataa kufanya hivyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM atishia kujiuzulu

MBUNGE wa Nyang’hwale mkoani Geita, Hussein Amar (CCM), ametishia kujiuzulu ikiwa serikali haitawawajibisha watendaji wa Wizara ya Maji, na wale wa halmashauri ya wilaya hiyo wanaotuhumiwa kuhujumu mamilioni ya fedha...

 

11 years ago

Habarileo

Magufuli agoma matuta

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesisitiza Serikali haitaweka matuta ya vizuizi vya kupunguza ajali katika barabara zote zilizoko nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Sure Boy agoma penalti

Kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ ametaka kocha wake asijisumbue kumpanga katika orodha ya watakaopiga penalti endapo Azam FC itafikia hatua hiyo dhidi ya El Merreikh ya Sudan kesho kwenye Uwanja wa Nyamirambo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mapalala agoma kupiga kura

Mjumbe wa Bunge la Katiba, James Mapalala ametoa siri ya kutokujihusisha na suala la upigaji kura katika kamati yake namba moja kwa kusema inapigia upatu serikali mbili.

 

11 years ago

Habarileo

Mwanri agoma kukagua miradi

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Aggrey Mwanri amegoma kukagua miradi mbalimbali wilayani Maswa baada ya kugundua kuwa miradi hiyo imejengwa chini ya kiwango.

 

11 years ago

Mwananchi

Cheka agoma kuzipiga na Mrusi

Bingwa wa Dunia wa WBF wa uzani wa Super Middle, Francis “SMG” Cheka amegomea pambano lake la Desemba 21 na kudai hawezi kupigana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani