MBUNGE AZZA HILAL ATOA MSAADA WA VITI NA NGAO ZA USO 'FACE SHIELDS' KUKABILIANA NA COVID 19 KWA WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA
Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (SPC) - Kadama Malunde Ngao za uso 'Face Masks' kwa ajili ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga kujikinga na maambukizi ya COVID 19 wanapotekeleza majukumu yao ya uandishi wa habari.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) ametoa msaada wa Viti kwa ajili ya Ofisi ya Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa...
Michuzi