MBUNGE CHADEMA ANG'ATUKA, ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA
![](https://1.bp.blogspot.com/-u8u3TSbJ0Sw/XpW6-80Xm6I/AAAAAAALm7I/zF8bWtC-XXYoVEC0P5oxIZCX62TWI1C9QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-14%2Bat%2B4.09.13%2BPM.jpeg)
Charles James, Michuzi TVMBUNGE jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfried Lwakatare ang'atuka na kutoa kauli ya kutogombea tena katika Uchaguzi hapa nchini.
Mbunge huyo ametangaza kauli hiyo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya makadirio ya mapato ya Wizara ya Tamisemi ambapo amewatakia kila heri wabunge wengine.
Tofauti na Komu, Lwakatare yeye hajatangaza kuhamia chama chochote badala yake amesema hatogombea tena katika uchaguzi Mkuu...
Michuzi