Mbunge: Nang'atuka
MBUNGE wa Chilonwa mkoani Dodoma, Ezekiah Chibulunje (CCM) amemweleza Rais Jakaya Kikwete azma yake ya kutogombea ubunge uchaguzi ujao. “Nilishatangaza nia ya kustaafu, nashukuru sana kwa heshima uliyonipa kwa nafasi ya wizara mbalimbali kwa miaka 10 mfululizo,” alisema Chibulunje.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania