Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge Ndesamburo ajitosa kumtetea Lowassa

Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiache kumsakama Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kwa sababu tu ya kutaka kutimiza ndoto yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Philip Ndesamburo

>Mchakato wa Katiba umekuja kutokana na azimio la Bunge na agizo ama msukumo wa Rais.Kwa bahati mbaya Rais na chama chake CCM hawakutaka kukubali mchakato ambao utaleta Katiba yenye kuwalinda na kutetea masilahi ya Watanzania wote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndesamburo amkingia kifua Lowassa

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionekana kutikiswa na ushawishi wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, wa kutaka kutimiza safari yake ya kuwapatia Watanzania elimu bure, Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon...

 

10 years ago

Michuzi

Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe Edward LowassaMsemaji wa Waziri Mkuu Mstaafu  Mhe. Edward Lowassa,  Bw. Aboubakary Liongo---- Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.

Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat.Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo.Baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael wakimsilikiza Ndesamburo.Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara .

 

9 years ago

Mtanzania

Mbunge amlilia Samia kuondoka kwa Lowassa

laizerPatricia Kimelemeta, Namanga

ALIYEKUWA Mbunge wa Longido, Michael Lekule Laizer, amemweleza mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, kwamba kitendo cha Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhama chama hicho, kimegawa wananchi wa jimbo hilo.

Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Namanga mkoani Arusha, Laizer alisema baada ya jina la Lowassa kuenguliwa kwenye wagombea wa CCM na kuamua kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baadhi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Edward Lowassa: Mbunge wa Monduli

>Edward Lowassa alizaliwa Agosti 26, 1953 katika Kijiji cha Ngarash, Monduli na ndiye mtoto mkubwa wa kiume kwa Mzee Ngoyai Lowassa (atafikisha miaka 62 Agosti mwaka huu). Alianza kusoma katika Shule ya Msingi Monduli kati ya mwaka 1961–1967.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waahidi kumtetea Shy-Rose

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki, Twaha Tasilima, amesema wabunge wenzake wa Tanzania waliopo kwenye Bunge hilo, watasimama kidete kumtetea mbunge mwenzao, Shy-Rose Bhanji kwani hajatendewa haki ya kusikilizwa juu ya tuhuma anazoshutumiwa na wenzake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashahidi zaidi kumtetea Oscar Pistorius

Jopo la utetezi katika kesi ya mauaji inayomkabili Oscar Pistorius limeitisha mashahidi zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Ahudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi Zanzibar

   Ibada ikiendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar,ambapo Mh.Lowassa na familia yake walihudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo.  Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya SIkukuu ya Krismasi leo.  Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani