Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGOMBEA MWEZA SAMIA AKIENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA TEMEKE DSM

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa timeti ya CCM, Mama Samia suluhu Hassam akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni aliofanya jana, Septemba 3, 2015 katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam.
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia akishangiliwa na wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam, Septemba 3, 2015.  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhai Madabida...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA MGOMBEA MWEZA SAMIA MTWARA VIJIJINI JANA

 Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na walipozuia msafara wake njiani, katika eneo la Makonga wilayani Newala, wakati akieda kuhutubia mkikutano ya kampeni katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara jana, Septemba 16, 2015. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Liwale mjini, George Mkuchika, katika mkutanowa kampeni uliofanyika jana, Septemba 16, 2015,...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA AKIENDELEA NA KAMPENI MTAMA NA RUANGWA

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana, Septemba 15, katika eneola Nyangao, jimbola Mtama mkoani Lindi. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan akijadili jambo na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Mtama, Katiu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, wakati wa mkutani wa Kampeni uliofanyika jana Septemba 15, 2015 katika eneo la Nyangao, jimoni humo...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA MWENZA CCM SAMIA SULUHU HASSAN AANZA KAMPENI KILIMANJARO LEO


 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo. Mbombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro leo Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo Mama Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AONYESHA UBORA WAKE KATIKA KAMPENI JIMBO LA MBOZI, MBEYA

Chopa aliyomo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili kwenye Viwanja vya  Mulowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya, leoMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi  baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Mlowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya. Pamoja naye ni Mjumbe wa katai ya kampeni za CCM Kitaifa Mwigulu chemba.Wananchi...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza AMJADI,Awahutubia Wananchi wa Jimbo Hilo katika Mkutano Wake wa Kampeni Viwanja vya Mabanda ya Ngombe Chumbuni Unguja.

Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani wakiwapungia mikono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni wakati msoma utenzi akitaja majina ya Wagombea.Wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo wa Kampeni ya Jimbo la Chumbuni Unguja.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA‏

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kupiga ngoma ya asili ya Kihehe wakati alipowasili katika kijiji cha Kikombwe Kata ya Lwamgungwe katika jimbo la Kalenga Wilaya ya Iringa vijijini mkoani humo leo kwa ajili ya mkutano wa kampeni ambapo uchaguzi wa kuziba pengo la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu Dr. William Mgimwa utafanyika Machi 16 mwaka huu.… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa Urais CCM Dk Ali Mohamed Shein, Jimbo la Mkoani Pemba

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya mkutano vya Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kampeni yake kwa wananchi wa Jimbo hilo la Mkoani. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Siasa jukwaa kuu baada ya kuwasili katikac viwanja hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani