Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA LOWASSA AWASILI DODOMA KUJINADI MAFURIKO YAENDELEA JITIRIRISHE

MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda Ukawa,Edward Lowassa amezidi pasua anga ndani ya nchi,Baada ya leo kutikisa ngome ya CCM mkoani Dodoma na kushuhudiwa na Maelfu ya wakazi wa Mkoa huo kama ambayo picha zinavyoonyesha. 


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU

Wagombea wa UKAWA na Mwenyekiti wa UKAWA wakionyesha kitabu chao cha Ilani ya Uchaguzi wa 2015.
Hotuba ya Lowassa

Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015

Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu

Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHADEMA WAMPITISHA BILA KUPINGWA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lowassa mgombea urais CHADEMA

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,Edward Lowassa amechukua fomu ya kuwania urais kupitia tiketi ya CHADEMA

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO MKUU WA CHADEMA ULIOFANYIKA LEO NA KUWAPITISHA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA

 Mkutano Mkuu wa CHADEMA ulianza kwa kuimba nyimbo ya taifaShehe Rajabu Katimba akiomba Dua wakati wa mkutano mkuu wa CHADEMA uliofanyika leo Mchungaji Zakaria Kakobe akitoa neno la mungu wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
 Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh. Salum Mwalim akifungua mkutano wa Baraza kuu uliofanyika leo    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Freeman Mbowe akisoma hutuba katika mkutano mkuu wakati wa mkutano mkuu uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mlimani...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano Mkuu wa CHADEMA wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

Mkutano Mkuu wa CHADEMA kwa pamoja wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA NA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

 Mhe. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, kwa ajili ya kuchukua fomu. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa pamoja na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) walipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu.
 Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani