Mhe,Balozi Wilson Masilingi Awasili Rasmi Kituo Chake Cha Kazi Ofisi Za Ubalozi wa Tanzania Washington DC.
Mhe Balozi Wilson Masilingi akisalimiana na wafanyakazi wa Tanzania House Washington DC.( Pichani ni Edward Christopher Taji Mkuu wa Kitengo cha Visa.)
Mhe Balozi Wilson Masilingi akiwa ofisini kwake na kusaini kitabu maalum .
Mhe Balozi Wilson Masilingi akipata maelezo mafupi kuhusu kituo chake kipya cha kazi kutoka kwa Mwambata wa Jeshi Col Adolph Mutta na Afisa wa Uhamiaji wa Ubalozi Abbas Missana.
PICHA ZOTE KWA HISANIA YA CAMERA YA...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iTv8zHc-VJM/Vmm2GVZIs9I/AAAAAAAILhE/S1CmULdn0zk/s72-c/us1.png)
MHE.BALOZI WILSON M. MASILINGI ATEMBELEA KITENGO CHA VISA KATIKA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON D.C, SIKU YA KUMBUKUMBU YA UHURU, TAREHE 9 DISEMBA, 2015
Katika kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Ubalozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington D.C umeendelea kufanya kazi na kutoa huduma za Visa na Pasipoti kama sehemu ya maadhimisho ya sikukuu hiyo. Pamoja na kazi zingine za Ubalozi kuendelea kama kawaida, Mhe. Balozi Wilson M.Masilingi alitembelea kitengo cha Visa na huduma za Uhamiaji na kufanya mazungumzo mafupi na Mkuu wa Kitengo hicho Bw. Abbas A. Missana, Afisa...
9 years ago
VijimamboBALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MHE, WILSON MASILINGI AWASILI RASMI KITUONI WASHINGTON DC.
9 years ago
MichuziBALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MHE, WILSON MASILINGI AWASILI WASHINGTON DC
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/CwSV5j7r-ws/default.jpg)
10 years ago
VijimamboMHE PETER ILOMO KATIBU MKUU OFISI YA RAIS ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-6Ixhbro1Fc0/Vl3rBvN39SI/AAAAAAAIJo0/VdWUOtsDS7I/s72-c/ma.png)
MHE. BALOZI WILSON M. MASILINGI AKUTANA NA BI. CATHY BYRNE, MKURUGENZI MWANDAMIZI WA MASUALA YA AFRIKA, IKULU YA MAREKANI (WHITE HOUSE) TAREHE 30 NOVEMBA 2015
Mhe. Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, akifuatana na Bw. Paul Mwafongo alihudhuria mkutano na Bw. Louis Rene Peter Larose, Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Dunia, Kundi la Nchi za Afrika. Wengine waliohudhuria ni pamoja na Bw. Andrew Ndaamunhu Bvumbe, Mkurugenzi Mtendaji Mbadala Benki ya Dunia, Kanda ya Afrika, na Bw. WilsonToninga Banda, Mshauri, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji. Shabaha ya Mkutano ilikuwa ni kufuatilia mazungumzo yaliyofanyika Lima,...
10 years ago
Vijimambo11 Aug
Rais Kikwete amteua Wilson Masilingi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani
Rais Kikwete amemhamisha Wilson Masilingi kutoka kuwa Balozi wa Tanzania Uholanzi na sasa anakuwa Balozi wa Tanzania Marekani kuchukua nafasi ya Liberata Mulamula. Nafasi ya Masilingi itajazwa na Irene Kisyanju aliyeteuliwa kuwa balozi Uholanzi akitokea wizara ya mambo ya nje.Aidha Rais amemteua Mkuu wa chuo cha ulinzi cha taifa Luten Jenerali Charles Makakala kuwa Balozi wa TZ Zimbabwe kuchukua nafasi ya Adadi Rajab alieteuliwa kuwa mgombea ubunge CCM huko Tanga.
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
Mhe. Katibu Mkuu akiwa katika kikao na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania,...
10 years ago
VijimamboUBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC WAMKARIBISHA BALOZI OMBENI SEFUE KWA CHAKULA CHA JIONI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania