MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WA NORWAY NA RWANDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne Marie Kaarstad, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne Marie Kaarstad, (wa pili kulia) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WA NORWAY NA RWANDA
Balozi wa Norway nchini Tanzania mheshimiwa Hanne Marie Kaarstad ndiye alikuwa wa kwanza kufanya mazungumzo na mheshimiwa Makamu wa Rais ambapo licha ya kufika kujitambulisha alimueleza mheshimiwa Makamu wa Rais kuwa atajitahidi kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi mbili...
9 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MABALOZI WA NORWAY NA MALAWI
Katika hatua nyingine, Mheshimiwa Makamu wa Rais leo Desemba 11, 2015 amekutana na Balozi wa Norway nchini...
9 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AKUTANA NA MABALOZI WA KUWAIT NA RWANDA OFISINI KWAKE IKULU DAR



11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA MABALOZI WA OMAN NA SYRIA



Makamu Wa Rais wa...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA KENYA NA MSUMBIJI IKULU DAR


10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA KENYA NA MSUMBIJI IKULU DAR


10 years ago
Vijimambo
Makamu wa Rais Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal Akutana na Mabalozi wa Wateule leo.


10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AKUTANA NA MABALOZI WATEULE LEO
10 years ago
Michuzi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mh. Dk. Binilith Mahenge akutana na mabalozi wa Uswisi na Ufaransa
