Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhudumu wa baa taabani kwa kifo cha mteja

Muhudumu mmoja wa baa amepatikana na hatia ya mauaji baada ya kumpa mteja wake jumla ya vipimo 56 vya pombe kisha akafa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

10 years ago

Vijimambo

AY ATUMA SALAM ZA POLE KWA JOSE CHAMELEONE KWA KIFO CHA AK47

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania AY amemtumia Jose Chameleone kwa kifo cha kaka yake ambaye pia ni mwamnamuziki nchini Uganda.

Marehemu Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni.

Taarifa zimeeleza kuwa kabla ya mauti kumkuta, AK47 alikuwa katika baa moja ya usiku iliyopo eneo la Kabalagala pamoja na marafiki zake.

Imeelezwa kuwa alidondoka akiwa bafuni wakati akiongea na simu na kukimbizwa katika...

 

11 years ago

Habarileo

Shule kinara kidato cha 6 taabani

SHULE ya Igowole, iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka huu, inakabiliwa na matatizo mengi, ikiwemo ukosefu wa mabweni, kiasi cha Mkuu wa Shule kulazimika kuhama nyuma kuachia wanafunzi wapate pa kulala.

 

10 years ago

BBCSwahili

Israeli:Chama cha Netanyahu taabani

Muungano unaongozwa na Tzipi Livni unatarajiwa kuushinda ule unaoongozwa na waziri mkuu wa sasa Benjamin Netanyahu

 

9 years ago

Bongo5

Picha: KCee alipogeuka mhudumu wa ndege kwa kuvaa sare na kuhudumia abiria!

Pata picha unasafiri na ndege, na mhudumu anayekukaribisha mlangoni na kukuonesha pa kukaa ni Diamond ambaye pia baadaye anakuja kukuhudumia chakula na vinywaji wakati wa safari. Ndivyo ilivyokuwa Jumamosi ya Oct.24 pale mwimbaji wa Nigeria, Kcee alipogeuka kuwa mhudumu wa ndege kwa siku moja, ambapo alivaa sare za ‘cabin crew’ na kuhudumia abiria kwenye safari […]

 

11 years ago

Michuzi

Mafunzo kwa Maafisa Mawasiliano Serikalini kuhusu Itifaki na Huduma kwa Mteja

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (aliyevaa tai) akiwa kwenye Picha ya pamoja na Maafisa Mawasiliano Serikalini wa kutoka kwenye Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali. Mafunzo hayo yamefunguliwa na Bibi. Sihaba Mkinga, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Prof. Gabriel mbali na Kuwa Naibu Katibu Mkuu, pia ni Mwalimu ambapo alitoa mada kwa Maafisa hao namna ya kuwahudumia vizuri wateja wao mahali pa kazi.

 

11 years ago

Michuzi

TPA yaendesha semina kwa wakuu wa idara na wawakilishi wa Wafanyakazi ya mkataba wa huduma kwa mteja

Mwenyekiti wa kikao Phares Magesa kushoto akiongoza semina ya mkataba wa huduma kwa wateja ya wakuu wa idara na wawakilishi wa Wafanyakazi wa TPA, kulia ni mwezeshaji Mrs. Ndaba ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Utumishi toka Wizara ya Uchukuzi, TPA iko katika hatua ya mwisho ya utengenezaji wa mkataba wa kuhudumia wateja "Customer Service Charter". Baadhi ya wajumbe wakisikiza kwa makini semina hiyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki na mgahawa wa kichina, huduma zote unaagiza kwa simu.. hakuna mhudumu !! (+Video)

Najua ni mazoea au kawaida kila unapoenda sehemu ya huduma kama mgahawani, hotelini unakutana na wahudumu ambao wanakupokea, wanakukaribisha kwa ukarimu kabisa.. alafu unaanza kuulizwa unahitaji huduma gani ?! China hayo mambo huyakuti kila sehemu… hiyo kazi yote imeachiwa simu yako aisee !! Mgahawa mmoja uliopewa jina la Renrenxiang Restaurant, uliopo Beijing China hakuna mhudumu kabisa… mteja […]

The post Cheki na mgahawa wa kichina, huduma zote unaagiza kwa simu.. hakuna mhudumu !!...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani