Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIAKA 25 NDIO UMRI SAHIHI WA MISS TANZANIA SITTI MTEMVU

Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu akionyesha cheti chake cha kuazaliwa kilichowakilishwa kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2014 kama kielelezo chake cha umri aliokua nao kinachoonyesha tarehe yake ya kuzaliwa kuwa ni 31 Mei 1991 wakati pasi yake ya kusafiria ianonyesha tarehe 31 Mei 1989 tarehe ambayo inaenda sambamba na leseni yake ya uendeshaji aliyokua akiitumia mji wa Dallas jimbo la Texas nchini Marekani ikiwemo fomu ya uhamijai aliyokua akijaza wakati akiingia nchini Marekani. Kwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HUU NDIO UKURASA WA FACEBOOK WA MISS TANZANIA SITTI MTEMVU UNAVYOSOMEKA LEO

Juhudi zinaendelea kuwatafuta waandaaji wa Miss Tanzania ili waweze kuthibitisha habari hizi

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Washiriki 30 wa kinyanganyiro cha kumsaka Miss Tanzania wakijitambulisha kwa shoo. Warembo wakipita na vazi la ufukweni. Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto), akiwa na katibu wa kamati hiyo, Bosco Majaliwa.…

 

10 years ago

Mwananchi

Sitti Mtemvu: Mimi si sababu ya Miss Tanzania kufungiwa

Kufungiwa kwa Miss Tanzania siku chache baada ya kamati inayoendesha shindano hilo kumvua taji Sitti Mtemvu, kunaweza kuelezwa kuwa kuna uhusiano.

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

MREMBO Sitti Mtemvu aliyekuwa Miss Temeke 2014, Oktoba 11, 2014 aliibuka kidedea katika fainali za shindano la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia taji hilo sambamba na shilingi milioni 18. Katika shindano hilo lililofanyika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nafasi ya pili ilikwenda kwa Lilian Kamazima ambaye alijishindia shilingi milioni 6 huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Jihan Dimachk. Dorice Mollel alishika nafasi ya nne...

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk. Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amejivua taji hilo leo, mshindi wa pili, Lillian Kamazima amrithi, Lundenga athibitisha. Habari kamili kuwajia…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitti Mtemvu avua taji Redd’s Miss Tanzania

REDD’S Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ameamua kuvua taji la Redds Miss Tanzania alilovikwa usiku wa Oktoba 11 mwaka huu katika Ukumbi wa Mliamani City, jijini Dar es Salaam. Katika...

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk baada ya kutangazwa mshindi. MREMBO Sitti Mtemvu kutoka Temeke ametwaa taji la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia kitita cha milioni 18 usiku huu katika…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014

MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani