Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mimi si malaika, Diego Costa asema

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa amesema anajua kwamba yeye “si malaika” uwanjani na kwamba hatabadilisha mtindo wake wa uchezaji soka.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Diego Costa: Mimi si malaika

diego-costaLONDON, England

MSHAMBULIAJI wa timu ya Chelsea, Diego Costa, amesema anajua kwamba yeye si malaika uwanjani na kwamba hatabadilisha mtindo wake wa uchezaji soka.

Costa amepigwa marufuku mechi tatu mara mbili mwaka huu, mara ya kwanza kwa kumkanyaga mchezaji wa Liverpool, Emre Can na mara ya pili kwa kumsukuma beki  wa Arsenal, Laurent Koscielny.

“Nimefika mbali hivi kutokana na jinsi ninavyocheza,” mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliwaambia waandishi wa habari.

“Sitabadilisha hilo eti...

 

9 years ago

Bongo5

Diego Costa asema yeye si malaika

Mchezaji wa Chelsea Diego Costa ameeleza anajua kwamba yeye “si malaika” pindi anapo kuwa uwanjani na kwamba hatabadilisha mtindo wake wa uchezaji soka. Costa amepigwa marufuku mechi tatu mara mbili mwaka huu, mara ya kwanza kwa kumkanyaga mchezaji wa Liverpool Emre Can na mara ya pili kwa kumsukuma difenda wa Arsenal Laurent Koscielny. “Nimefika mbali […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Masaibu ya Diego Costa yaongezeka

Kocha wa Uhispania Vicente del Bosque amemuacha nje mshambuliaji wa timu hiyo Diego Costa kwa mechi mbili za kufuzu kwa michuano ya mabingwa Ulaya mwaka ujao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Diego Costa ajiunga na Chelsea

Mshambulizi wa Atletico Madrid,Diego Costa hatimaye amejiunga na Chelsea kwa miaka 5 ijayo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Diego Costa na Gabriel washtakiwa na FA

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameshtakiwa kwa madai ya kutaka kuzua ghasia ambayo hayakuonekana na maafisa wa mechi hiyo lakini ambayo yalinaswa katika ukanda wa video.

 

9 years ago

Mtanzania

Higuain kumwondoa Diego Costa Chelsea

gonzalo-higuain-barça2014LONDON, ENGLAND

KLABU ya Chelsea imeanza kumfukuzia mshambuliaji wa Napoli, Gonzalo Higuain ambaye anaweza kuchukua
nafasi ya Diego Costa wakati wa dirisha dogo la usajili Januari mwakani.

Klabu hiyo imefanya maamuzi hayo baada ya kuona kwamba mchezaji wao huyo amekuwa na matukio mbalimbali ambayo hayaisaidia timu hiyo.

Kutokana na hali hiyo Costa ametakiwa kubadilika ili kuweza kuisaidia timu hiyo ambayo kwa sasa imekuwa na wakati mgumu katika michuano ya Ligi Kuu nchini England.

Hata...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho adai Diego Costa anaonewa

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amedai mshambuliaji wake Diego Costa amekuwa akionewa na maafisa wasimamizi wa soka.

 

9 years ago

BBCSwahili

Diego Costa kukosa michezo mitatu

Diego Costa atakosa michezo mitatu baada ya chama cha soka cha England FA kuthibitisha kukutwa na makosa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Cannavaro: Jaja kama Diego Costa

NAHODHA wa timu ya Yanga, Nudir Haroub ‘Cannavaro’ amezidi kufagilia kiwango cha nyota wa kimataifa, Mbrazil Geilson Santana ‘Jaja’ akisema ni mchezaji asiye na madoido dimbani lakini akiwa hatari kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani