Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke wa Rais wa China aipa msaada Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama

KI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake Mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan.

Na Anna Nkinda – Beijing, China

Mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan ameahidi kutoa vifaa vya shule vikiwemo vya maabara pamoja na vitabu kwa ajili ya shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama ili  wanafunzi hao waweze kusoma vizuri masomo ya sayansi.

Mama Liyuan aliitoa ahadi hiyo  jana wakati akiongea na  mke wa Rais Mama Salma Kikwete katika ukumbi maarufu wa watu (Great hall of...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama wapewa msaada wa basi

Anna Nkinda – Maelezo
Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama inayomilikiwa  na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepatiwa msaada wa basi na kampuni ya Ashok Leyland ya jijini Dar es Salaam.
Makabidhiano ya basi hilo yamefanyika leo katika viwanja vya Taasisi hiyo iliyopo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Akiongea mara baada ya makabidhiano hayo   Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete aliwashukuru viongozi wa kampuni hiyo kwa msaada walioutoa na kusema anaamini msaada huo...

 

9 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA- SHULE ZA SEKONDARI WAMA NAKAYAMA RUFIJI NA WAMA SHARAF LINDI

 Shule ya Sekondari ya WAMA- Sharaf, Mitwero Lindi

Shule ya Sekondari ya WAMA- Nakayama, Nyamisati -Rufiji



Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inatangaza nafasi za kidato cha kwanza kwa wasichana katika Shule zake mbili za Sekondari:


(1)   Shule ya Sekondari WAMA -  Nakayama  iliyopo Kijiji cha Nyamisati Wilaya ya Rufiji , Mkoa wa Pwani:

(2)   Shule ya Sekondari ya WAMA- Sharaf iliyopo Mitwero katika  Manispaa ya Lindi


WAMA ni Taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na Mhe. Mama Salma...

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE YA SEKONDARI YA WAMA - NAKAYAMA

t29
TANGAZO- NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA SHULE YA WAMA NAKAYAMA NOVEMBER 05 2014.doc by moblog

 

10 years ago

Dewji Blog

TANGAZO: Nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya WAMA — Nakayama

t29

TANGAZO- NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA SHULE YA WAMA NAKAYAMA NOVEMBER 05 2014.doc by moblog

 

10 years ago

GPL

TANGAZO NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE YA SEKONDARI YA WAMA - NAKAYAMA‏

TANGAZO  NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA WAMA- NAKAYAMA KWA MWAKA 2015 Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inatangaza nafasi za kidato cha kwanza kwa wasichana katika Shule ya Sekondari ya WAMA- Nakayama iliyopo Nyamisati Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. WAMA ni Taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na Mhe. Mama Salma Kikwete ili kusaidia maendeleo ya wanawake na watoto. WAMA inamiliki na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani