MKONO WA EID MUBARAKA KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-7McKfefvTfQ/VDEjzNURNXI/AAAAAAAGoBo/V1NO7-qMcsg/s72-c/unnamed%2B(52).jpg)
Bendi maarufu ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani, inawapa mkono wa Eid El Hajj wadau na wapenzi wote wa Ngoma Africa band popote walipo.Ngoma Africa Band inawatakia siku kuu njema ya Eid tusherehekee sote kwa Amani na Upendo.Pia usikose kupata burudani kamili ya muziki at www.ngoma-africa.comjiunge nao at www.facebook.com/ngomaafricaband
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMKONO WA EID AL HAJJ KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-F4mnzVOGM0I/VgMtnqnGshI/AAAAAAAH6-w/CJRlZrwMnbI/s72-c/unnamed%2B%252819%2529.jpg)
MKONO WA EID MUBARAK KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU UGHAIBUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-F4mnzVOGM0I/VgMtnqnGshI/AAAAAAAH6-w/CJRlZrwMnbI/s640/unnamed%2B%252819%2529.jpg)
usikose kufungua sikio at www.reverbnation.com/ngomaafricaband
11 years ago
GPLSALAM ZA MEI MOSI KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya "Ngoma Africa Band" a.k.a FFU-Ughaibuni, yenye makao yake kule Ujerumani inatoa salamu maalum za Siku ya Wafanyakazi Duniani "MEI MOSI" a.k.a May Day. Ngoma Africa Band itawatakia kila la heri wadau wote duniani katika kusherehekea Sikukuu ya Mei Mosi hapo kesho!
10 years ago
Vijimambo11 Jan
HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-cL2XBIfCDKg%2FVLHChMXpYCI%2FAAAAAAADVOQ%2Fh5n9WtuTKyw%2Fs1600%2FCD%252B_%252BAnt-Corruption.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-D15FMO8AYUQ%2FVLHCiXn5opI%2FAAAAAAADVOY%2FG2mdXRKeJ5o%2Fs1600%2FNgoma%252BAfrica%252BBand%252BOn%252BAction%252Bin%252BGermany.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-jIwjcMg8WKA/VKEWCN4Ra_I/AAAAAAADTFw/0z5g61PTm0E/s72-c/Ngoma%2BAfrica%2BBand%2BOn%2BAction%2Bin%2BGermany.jpg)
HERI YA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
![](http://3.bp.blogspot.com/-jIwjcMg8WKA/VKEWCN4Ra_I/AAAAAAADTFw/0z5g61PTm0E/s1600/Ngoma%2BAfrica%2BBand%2BOn%2BAction%2Bin%2BGermany.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_HyW9NmhAmw/VKDzinLZK2I/AAAAAAAG6Sk/46Cn_4rfDck/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
SALAM ZA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-_HyW9NmhAmw/VKDzinLZK2I/AAAAAAAG6Sk/46Cn_4rfDck/s1600/unnamed%2B(15).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-it9fy1_rSsE/VKDzmSeLLcI/AAAAAAAG6Ss/4QIWbzFxRRY/s1600/unnamed%2B(16).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_OfETaTr9ko/U1rZYe81ExI/AAAAAAAFdEk/AHwFXErbZkM/s72-c/unnamed.png)
SALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
![](http://1.bp.blogspot.com/-_OfETaTr9ko/U1rZYe81ExI/AAAAAAAFdEk/AHwFXErbZkM/s1600/unnamed.png)
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
UDUMU UMOJA WA KITAIFA
UDUMU...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ewtvLniYpoNN6l5Iuzu4wpa8g9gkW5UyDjwmzkucK0DYSgi3Vl-Yh4uTWk81*h7JYc6vav-nT0i2XbLXXFizlfGD7j5*mnnC/ngomaafrica2001.jpg?width=650)
SALAMU ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, NGOMAÂ AFRICA a.k.a FFU Ughaibuni, yenye makao yake nchini Ujerumani, inaungana na Watanzania wote nyumbani na ughaibuni katika kusherehekea MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA. Ngoma Africa Band inatoa salamu za heri na shangwe kwa Watanzania wote popote duniani. ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR =...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EGqYpB8t-KA/U2Di7bMLurI/AAAAAAAFeIM/AUELRxikcrY/s72-c/unnamed+(4).jpg)
SALAM ZA HERI YA "MEI MOSI" KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
![](http://3.bp.blogspot.com/-EGqYpB8t-KA/U2Di7bMLurI/AAAAAAAFeIM/AUELRxikcrY/s1600/unnamed+(4).jpg)
Tafadhali pata burudani ya muziki at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
www.facebook.com/ngomaafricaband
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania