Mkurugenzi wa Benki ya Dunia atembelea Wizara ya Ujenzi
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akizungumza na Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Bi. Sri Mulyani Indrawati watatu kutoka kushoto pamoja na ujumbe alioambatana nao kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia Wadau hao wa Maendeleo.Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akitoa zawadi kumkabidhi Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati kushoto kwake mara baada ya kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Majaliwa atembelea NFRA na ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi Peramiho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa vazi la jadi la Wangoni baada ya kuwasili kwenye kwenye...
11 years ago
Michuzi01 Aug
Mkurugenzi wa Idara ya Habari atembelea Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Wizara ya Mambo ya Nje
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Sri Mulyani: Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayesifika kwa kupinga rushwa
10 years ago
Michuzi16 Sep
10 years ago
VijimamboKAIMU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA STAMICO ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA UTUMISHIO WA UMMA JIJINI DSM
10 years ago
MichuziKAIMU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA STAMICO ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboBENKI YA DUNIA NA WAWAKILISHI WIZARA YA FEDHA WAJADILI MASWALA MBALIMBALI YANAYOIHUSU TANZANIA
9 years ago
VijimamboMagavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim
Wajadili namna ya kuchochea maendeleo na kuimarisha uchumi barani Afrika.Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile wakisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde wakati akiingia kwenye ukumbi wa mkutano.Katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde akinukuu hoja zilizokuwa zikijadiliwa katika mkutano huo.Magavana wa Afrika wakiwa kwenye Mkutano wa...
10 years ago
MichuziMkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia afanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam