Mkutano wa 'Connect 2 Connect' Waingia Siku ya Pili Tanzania
Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania.
Ofisa Biashara wa Mkongo wa Taifa kutoka TTCL, Ian Mawala (kushoto) akifanya mazungumzo kubadilishana uzoevu na mmoja wa wadau wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, katika...
Vijimambo