Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA MWISHO WA KAMPENI YA URAIS WA UKAWA KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI DAR ES SALAAM.

Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Ndugu Edward Ngoyai Lowassa akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano mkubwa wa kufunga kampeni za Urais uliofanyika katika viwanja vya Jangwani Dar es salaam. Pichani kutoka kushoto Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Mh Freeman Mbowe, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mh Edward Lowassa na Mgombea urais wa Zanzibar Mh

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wazindua kampeni viwanja vya Jangwani Dar

Baada ya kusubiri kwa takribani wiki moja, hatimaye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wazindua kampeni zao jijini Dar es Salaam leo.

 

9 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jumapili viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Benjamin William Mkapa wakimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara uliovutia umati uliovunja rekodi kwa wingi katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es alaam Jumapili Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais Kikwete na Rais Shein pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA UKAWA WAFANYIKA VIWANJA VYA JANGWANI.

 -Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakionesha hati za waraka walizotiliana saini za ushirikiano katika viwanja vya Jangwani Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalimu Seif Sharifu Hamad , Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia. Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalimu Seif Sharifu Hamad ,...

 

9 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Credit:MillardAyo.Com

 

9 years ago

GPL

MKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN VIWANJA VYA MICHEWENI PEMBA

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Micheweni Pemba akiwa katika mikutano yake ya Kampeni kisiwani humo mkutano huu ukiwa ni wa nne katika kuomba kura kuiongoza Zanzibar, Akisoma Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015/2020 jinsi ya kuleta maendeleo kwa Wananchi wa Zanzibar katika Sekta mbali mbali za Kijamii. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...

 

9 years ago

Michuzi

DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA MALFU YA WANANCHI KUFUNGA KAMPENI ZA DKT MAGUFULI JIJI LA DAR VIWANJA VYA JANGWANI

Mwenyeki wa chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi Mgombea Urais wa CCM Dt John Pombe Magufuli,mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jangwani.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Jonh Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa jiji la Dar es salam na Vitongoji vyake,katika uwanja wa Jangwani
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt Jonhn Pombe akihutubia maelfu ya...

 

11 years ago

Bongo Movies

9 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar


Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai . Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani