Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA WA RUKWA AONANA NA VIONGOZI NA WAJUMBE WA MFUKO WA CHANGAMOTO ZA MILLENIA (MCAT), AWAPONGEZA KWA KAZI NZURI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA NCHINI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na viongozi na wajumbe wa Mfuko wa Changamoto za Millenia Tanzania (MCA-T) wakiongozwa na mwenyekiti wake ambae pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi  Dr. Servaciaus Likwelile (kulia)  ofisini kwake leo tarehe 12 Februari 2015. Katika salam zake ameishukuru Serikali na mfuko huo kwa kazi nzuri inayofanyika Mkoani Rukwa na taifa kwa ujumla hususani katika ujenzi wa miundombinu ya barabara za lami, Pamoja na hayo ameiomba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA CHANGAMOTO ZA MILLENIA (MCAT) YAKABIDHIN RASMI KAMBI YA KANDA ILIYOPO MKOANI RUKWA KWA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millenium Challenge Account - MCAT) Eng. Salum Sasilo (kulia) akimkabidhi funguo Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya - MUST Prof. Joseph Msambichaka kama ishara ya makabidhiano rasmi ya kambi ya Kianda iliyokuwa ikitumiwa na Mkandarasi Aasleaf Bam International katika ujenzi wa barabara ya lami kuunganisha Mikoa ya Rukwa na Mbeya katika mradi wa Laela - Sumbawanga wenye jumla ya Kilomita 95. Chuo hicho Kikuu cha...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AONANA NA WATAFITI KUTOKA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO UYOLE MBEYA KUJADILI KUINUA KILIMO CHA NGANO MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza na watafiti kutoka taasisi ya Utafiti wa Kilimo Uyole iliyopo Mkoani Mbeya walipomtembelea ofisini kwake leo kutambulisha mpango wa SARD (Strategic Agriculture Reseach Development) unaodhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB (Africa Development Bank). Mpango huo una lengo la kupunguza utegemezi wa chakula nchini kwa kuongeza uzalishaji wa vyakula mbalimbali ikiwemo zao la ngano ambalo ni sehemu ya mradi huo Mkoani Rukwa.

 

5 years ago

Michuzi

RC NJOMBE AWAPONGEZA WALIMU WAWILI LUDEWA KWA KAZI NZURI


Na Shukrani Kawogo, Njombe.

Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amewapongeza walimu wawili wa shule ya msingi Nindi iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa juhudi wanazofanya kwa kuwafundisha wanafunzi wa shule hiyo kwa moyo wote bila kujali upungufu wa walimu walionao.

Walimu hao waliofahamika kwa majina ya Rebeca Mhagama Pamoja na Judith Kayombo wamekuwa wakifundisha wawili tu katika mikondo kumi na moja huku jumla ya wanafunzi wote ikiwa ni 308 wa shule ya msingi na 42 wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AONGOZA SIKU YA SHERIA NCHINI MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya kulia akihutubia katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini Mkoni Rukwa tarehe 04/02/2015 katika viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga. Kaulimbiu ya maaadhimisho hayo ikiwa "Fursa ya kupata haki: Wajibu wa Serikali, Mahakama na Wadau". Katika hotuba yake hiyo alisema ipo haja kubwa kwa Serikali kubadili sheria zake ili lugha ya mahakamani na hukumu ziandikwe kwa kiswahili. Kwa upande wa wananchi aliwaasa kujiepusha na tabia ya kujichukulia...

 

11 years ago

GPL

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA YAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA BARABARA WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA‏

 Ndugu Kinana akishiriki kuweka mawe sehemu korofi, angalau kusaidia Lori hilo pichani lililolala ndani ya msitu huo kwa siku mbili, wapite nae msafara wake uweze kuendelea na safari.
 Sehemu korofi ya Barabara ikiwekwa sawa ili lori lipite na kisha msafara nao uweze kupita, lakini hata hivyo zilitumika juhudi kubwa kuvusha msafara wa Kinana na hatimae… ...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI AIPONGEZA JICA KWA UFADHILI WA MIRADI MBALIMBALI YA BARABARA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe (kushoto), akimkabidhi zawadi ya kumbukumbu Mwakilishi Mkuu wa zamani wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) Yasunori Onishi, ofisini kwake jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini.Mwakilishi huyo ameishukuru Wizara ya Ujenzi kwa ushirikiano aliopata katika kipindi chote alichohudumu nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe (kushoto), akimkabidhi zawadi Mwakilishi Mkuu mpya wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani