Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela Afungua mafunzo ya ulengaji Shabaha

S1Mkuu wa Wilaya ya Iringa akipokea maelezo toka kwa Mshauri wa Mgambo wa Mkoa Luteni Kanali J. Kitita S2Mkuu wa Wilaya Bwana Richard Kasesela akiongea na wana Mgambo na kuwaasa kuwa waaminifu kwani wao ndio walinzi namba moja katika nchi kwani wao wako karibu sana na wananchi. pia Mkuu wa wilaya alisistiza suala la usafi kama nguzo moja wapo ya uadilifu. S3Mkuu wa wilaya akizindua mafunzo ya shabaha. alifanikiwa kulenga 10 kati ya 30 zilienda kwenye shabaha S4Mkufunzi wa mafunzo akihesabu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUU WAPYA WA WILAYA,MJINI DODOMA LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mafunzo ya wakuu wa wilaya wapya yanayofanyika katika ukumbi wa hosteli ya St.Gaspar mjini Dodoma leo jioni.Kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia,Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa na kulia ni Naibu waziri TAMISEMI Mh.Aggrey Mwanri. Baadhi ya wakuu wa wilaya wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo kwa wakuu wapya wa wilaya mjini Dodoma leo...

 

10 years ago

Michuzi

TASAF YAENDESHA MAFUNZO KWA WAWEZESHAJI WA UTAMBUZI WA KAYA MASKINI KATIKA WILAYA YA MUFINDI MKOANI IRINGA.


Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF unaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wawezeshaji wa utambuzi wa kaya maskini katika halmashauri kadhaa nchini. Zoezi hilo ni mwendelezo wa jitihada za TASAF za kunusuru kaya maskini nchini zoezi lililoanza mwaka uliopita kwa awamu katika maeneo mbalimbali nchini.
Miongoni mwa halmashauri ambako mafunzo hayo yanafanyika ni wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambako wawezeshaji hao watashiriki katika kuwapa mafunzo wadodosaji watakaofanya kazi ya tathmini...

 

11 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA AFUNGUA RASMI MAFUNZO ELEKEZI YA MAJAJI WAPYA

Jaji Mkuu wa Tanzania,Mhe. Mohamed Chande Othman akitoa hotuba ya ufunguzi ya Semina elekezi ya Wahe. Majaji Wateule walioishwa hivi karibuni, lengo la Mafunzo likiwemo ni kuwapa Mwongozo juu ya utendaji kazi wa Mhimili wa Mahakama. Kundi la Majaji Wateule wakifuatilia hotuba ya Mhe. Jaji Mkuu alipokuwa akifungua rasmi Mafunzo hayo. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (aliyeketi katikati) na Viongozi wengine wa Mahakama na Chuo. Cha Uongozi wa Mahakama wakiwa katika picha ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu Chuo cha GTI Afungua Mafunzo ya Jinsia, Demokrasia na Katiba

MKUU wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo leo jijini Dar es Salaam amefungua mafunzo ya siku tatu juu ya masuala ya Jinsia, Demokrasia na Katiba Mpya yaliyowashirikishwa washiriki kutoka katika mikoa ya Dar es Salaam, Lindi, Pwani na Morogoro. Akizungumza katika hotuba yake ya ufunguzi wa mafunzo hayo yanayofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Jinsia kilichopo eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam, Bi. Zuki Mihyo alisema kutokuwepo na misingi imara ya kutetea, kulinda na...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA CHUO CHA GTI AFUNGUA MAFUNZO YA JINSIA, DEMOKRASIA NA KATIBA

Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (kulia, aliyesimama) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu juu ya masuala ya Jinsia, Demokrasia na Katiba Mpya yalioandaliwa na GTI. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA SEKTA YA MAKAZI 2015

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya tano ya Sekta ya Makazi kwa mwaka 2015 Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Msanifu Majengo kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba Maendeleo ya Makazi, Julius Ndege, Ofisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group, Amani Majula waandaaji wa maonyesho hayo, Ofisa Masoko wa EAG Group, Helen Mangare na Richard Ryaganda, Ofisa Masoko wa EAG Group. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akisaini kitabu cha...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA NKASI AFUNGUA RASMI KAMPENI YA TOHARA KWA WANAUME MKOANI RUKWA LEO

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Iddi Hassan Kimanta akihutubia katika hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Tohara kwa wanaume Mkoani Rukwa iliyofanyika kimkoa katika Tarafa ya Challa Wilayani Nkasi. Akihutubia katika hafla hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo Injinia Stella Manyanya Mkuu huyo wa Wilaya amesema hadi kufikia mwezi wa tisa mwaka huu 2014 Mkoa wa Rukwa unatakiwa uwe umeshafanya tohara za wanaume 22, 000 ikiwa ni agizo la kitaifa ambapo hadi sasa jumla ya wanaume 7,000...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani