'MNYALUKOLO' ZAWADI MADAWILI: MWANAMAMA ALIYEWEKA REKODI LUKUKI JWTZ.
![](https://1.bp.blogspot.com/-b2pfPBgRUjY/Xt3CkKHFZgI/AAAAAAALs-A/gI_w9ytOUr0dUd5ChlSC9c0a-WCCrIZdwCLcBGAsYHQ/s72-c/ww.jpg)
BY MZEE WA ATIKALI ✍️✍️✍️
1. Usuli
Duniani kote, kwa miaka mingi, imezoeleka kwamba Jeshini ni sehemu ngumu na ni ya wanaume pekee na pia ni lazma uwe "Mtu wa Vurumai"!. Hata hivyo, mambo yote hayo mawili si sahihi kwani wapo wanawake wengi nchi mbalimbali ambao wamejiunga na Jeshi na si "Watu wa Vurumai".
Mmoja wa wanawake hao ni Meja Jenerali Mstaafu ZAWADI MADAWILI, Mwanamama mtaratibu na mstaarabu, aliyekuwa na weledi wa hali ya juu katika kazi yake jeshini kabla ya kustaafu.
Mwanamama huyu,...
Michuzi