MO MUSIC KUTUMBUIZA MISS CHANG'OMBE
![](http://1.bp.blogspot.com/-Xn8SLnqmZbg/U6Et8-5kyoI/AAAAAAABA3w/Q0Khv5VQjHA/s72-c/Pix-3.jpg)
Warembo wanaowania taji la Miss Chang'ombe wakiwa katika pozi, shindano hilo litafanyika Juni 27 katika ukumbi wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi Wetu
MKALI wa kibao cha Basi Nenda Moshi Katemi 'Mo Music' anatarajia kutumbuiza katika shindano la kanda ya Temeke, litakalofanyika Julai 27, katika ukumbi wa TCC Club Chang’ombe.
Mo Music ambae anatamba na kibao hicho atakuwa sambamba na bendi ya Ruvu Stars, mchekeshaji nyota na msanii wa muziki Mussa 'Kitale' na...
Michuzi