Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPAMBE WA MGOMBEA URAIS AVISHWA SHANGA

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
JAMAA anayedaiwa kwamba ni mpambe mkubwa wa mmoja wa wagombea urais mwakani ambaye ni fundi wa kufunga madishi, mkazi wa Magomeni-Makanya jijini Dar es Salaam, almaarufu Mgosingwa, amejikuta akivishwa shanga baada ya kunaswa na mke wa mtu chumbani kwake. Mgosingwa akivishwa shanga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu. FUMANIZI
Tukio hilo la aina yake la kufungia mwaka 2014 lilijiri kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais mteule John Magufuli amteua Samiah Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza

Mgombea urais mteule kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amteua Samiah Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza  kwenye Uchaguzi  Mkuu 2015.

 

9 years ago

Dewji Blog

9 years ago

GPL

ACT YATAMBULISHA MGOMBEA URAIS NA MGOMBEA MWENZA

Prof. Mkumbo akimkaribisha mgombea urais, Bi. Anna Elisha. Bi Anna Elisha akizungumza na wanachama muda mfupi baada ya kutambulishwa. Kabwe akizungumza na wanachama.…

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA, SAID MIRAJI ABDULLAH MGOMBEA MWENZA

 Mgombea urais wa chama cha ADC,  Zanzibar, Hamad Rashid Hamad, akihutubia katika mkutano huo. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bara kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha mgombea mwenza wake, Said Miraji (kulia), katika mkutano mkuu wa tatu wa chama hicho uliofanyika Dar es Salaam leo. Kushoto ni mgombea urais wa chama hicho, Zanzibar, Hamad Rashid Hamad.
 Makamu Mwenyekiti wa ADC, Zanzibar, Faki Hamisi Silima,...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHADEMA WAMPITISHA BILA KUPINGWA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.

 Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.  Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani