Msanii wa filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' ameremeta
Msanii wa filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala Bungoni na kufuatia na mnuso babu kubwa. Bwana harusi ni mfanya bihashara na Bi Harusi ni msanii wa kujitegemea
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania