Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIPOKEE MAHARI ZA WATOTO WENU WAKIWA WANAFUNZI - MAMA SALMA KIKWETE

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wananchi wa Kijiji cha Bweni katika Kata ya Kanga waliofika shuleni hapo kwa ajili ya kusalimiana naye. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wananchi wa Kijiji cha Bweni katika Kata ya Kanga waliofika shuleni hapo kwa ajili ya kusalimiana naye. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wananchi wa Kijiji cha Bweni katika Kata ya Kanga waliofika shuleni hapo kwa ajili ya kusalimiana naye. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifurahia zawadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wazazi msipokee mahari kwa ajili ya watoto wenu walioko shule

Wazazi na walezi wilayani Mafia wametakiwa kutokubali kupokea mahari za watoto wao wakiwa wanafunzi bali wawasimamie na kuhakikisha wanasoma kwa bidii na kufika elimu ya chuo kikuu.
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanafunzi pamoja na wazazi wa shule ya Sekondari Bweni iliyopo kata ya Kanga wilaya ya Mafia mkoani Pwani.Mama Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) alisema baadhi ya wazazi wanapokea mahari za watoto wao...

 

9 years ago

Michuzi

MSIWAKEKETE WATOTO WENU - MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa TarimeWAKAZI wa wilaya ya Tarime wametakiwa kuachana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia hasa mila za ukeketaji na ndoa za utotoni kwa watoto wa kike.
Mwito huo umetolewa hivi karibuni na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akizindua uboreshaji wa Hospitali ya wilaya ya Tarime iliyopo mkoani Mara.
Mama Kikwete alisema ukeketaji unaleta matatizo  makubwa ikiwa ni pamoja na kupata matatizo wakati wa kujifungua, mtoto wa kike kupata maumivu makali wakati...

 

11 years ago

Dewji Blog

“Wajengeeni watoto utamaduni wa kusoma vitabu” — Mama Salma Kikwete

DSC_0002

MKE wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi Tamasha la kwanza la vitabu vya watoto sambamba na kampeni ya usomaji yenye kauli mbiu ‘Mpe Kila Mtoto Kitabu’  kwenye uzinduzi uliofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

Na Damas Makangale, MOblog Tanzania

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amewataka walezi na wazazi nchini kuwanunulia vitabu watoto wao ili kuwajengea utamaduni wa kupenda kujisomea vitabu vya ziada...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI YA WATOTO HUKO ZINGA BAGAMOYO

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais wa Shirika la International Health Partiners (IHP)-JEMA Tanzania, Mama Mary Ellen Kitundu mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Zinga huko Bagamoyo, mkoani Pwani. Mama Salma alikwenda kijijini hapo kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi la hospitali ya watoto inayojengwa na Shirika la IHP-JEMA Tanzania tarehe 10.6.2014. Katikati ni Mkurugenzi wa Mradi huo Dkt. Jesse Kitundu. Mke wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIZINDUA TAMASHA LA VITABU VYA WATOTO MKOA WA DAR ES SALAAM

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa amesimama na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwemo Katibu Tawala Ndugu Theresia Mbando (wa tatu kutoka kulia), Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndugu Raymond Mushi (wa nne) nje ya jengo la Makumbusho ya Taifa kwa ajili ya kupokea maandamano ya wanafunzi wa shule za msingi za Dar es Salaam wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Tamasha la vitabu vya watoto katika Mkoa huo tarehe 12.6.2014. Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi mkoani Dar es Salaam...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Salma Kikwete mgeni rasmi kwenye tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa shule za msingi

DSC_0481

Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.

DSC_0533

Na Mwandishi wetu

WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na mazoea ya kusoma vitabu kwa lengo la kuwa wagunduzi wa vitu mbalimbali.

Akizungumza  jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Soma, Demere Kitunga wakati wa maandalizi ya tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa Shule za msingi.

Kitunga amesema...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MSIMBAZI MSETO KWENYE KITUO CHA WATOTO WENYE USONJI (AUTISM).

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha na watoto Abdallah Athuman (kulia) na Nasma Jumanne (kushoto) wenye matatizo ya usonji  (autism) wakati alipotembelea kwenye Shule ya Msingi Msimbazi Mseto   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kuimba na kucheza na watoto wenye matatizo ya usonji (autism),wazazi na walimu wakati alipotembelea  Shule ya Msingi Msimbazi Mseto   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kuimba na kucheza na watoto wenye matatizo ya usonji...

 

11 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA KWANZA LA VITABU VYA HADITHI KWA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI‏

Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa. Mmoja wa watoto akionyesha kipaji chake wakati wa mazoezi kwa vitendo kupitia hadithi mbalimbali walizosoma kutoka kwenye vitabu. Na Mwandishi wetu WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani