MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of students Shule ya Sekondari ya St. Anthony.
Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony.
Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambeye pia ni muandaaji wa siku ya Hedhi Duniani kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
10 years ago
VijimamboKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
10 years ago
GPLKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
10 years ago
VijimamboWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA BAJAVERO DAR WAPATA MAFUNZO JUU YA HEDHI SALAMA
Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni waandaaji wa siku ya Hedhi Duniani kwa Tanzania akiwauliza wanafunzi wa Darasa la tano hadi la saba changamoto wazipatazo wakati wanapoingia katika siku zao na pia kuwaelimisha juu ya Hedhi salama.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7bnfQ02Gv-Y/VWKpjE1__LI/AAAAAAAC4-c/QNVFJFdWJZg/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Serikali yajipanga kuboresha mazingira rafiki ya hedhi Salama kwa wanafunzi
![](http://3.bp.blogspot.com/-7bnfQ02Gv-Y/VWKpjE1__LI/AAAAAAAC4-c/QNVFJFdWJZg/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Kauli mbiu ya mwaka huu Ikiwa "Usisite Kuzungumzia Hedhi". Wengine kushoto ni Mwandaaji wa maadhimisho hayo...
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Elimu ya hedhi itolewe kuanzia ngazi ya shule za msingi nchini
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Shule za sekondari zaidi ya 30 kufaidika na mradi wa vitabu wa Airtel Shule Yetu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa “Airtel Shule Yetu” kwa mwaka 2014/15, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mradi huu wa vitabu umeweza kufikia shule zaidi ya 1,000 toka ulipoanza miaka kumi iliyopita. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania,...
10 years ago
MichuziShule ya sekondari ya Kutukutu Morogoro wafaidika na mradi wa "Airtel Shule Yetu"
Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni mbili umekabidhiwa hivi karibu na wawakilishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel ikiwa ni mpango wa SHULE YETU unaosimamiwa na kampuni hiyo.
Akipokea msaada huo kwa niaba ya walimu na wanafunzi wa shule hiyo mkuu wa shule ya sekondari Kutukutu Finyilise Elias amesema,...
10 years ago
GPLBAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28